Tulonge

Hatimaye mwanajeshi aliyepiga picha na Lema akamatwa

Kushoto ni mwanajeshi huyo akiwa ndani ya gari ya jeshi baada ya kutiwa mikono,kulia ni picha akiwa na Mh. Godbless Lema.

Yule mtu aliyedaiwa kuwa ni mwanajeshi wa JWTZ wa kikosi cha Monduli ametiwa mbaroni leo kwa ushirikiano wa jeshi la wananchi na Police.

Uchunguzi wa awali umebaini kuwa kijana huyu hakuwa mwanajeshi wa JWTZ kama alivyojitambulisha kwa waandishi wa habari, ila aliwahi kuwa JKT na akaacha. Amekuwa akivaa ngua hizo za jeshi kwa miaka mingi na wananchi wa Mererani wanamtambua kama mwanajeshi.

Chanzo: thechoicetz.com

Views: 652

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by John Genda on January 4, 2013 at 19:19

aaah wanajeshi nao wana maind vitu vidogoooo hapo ujue wamepoteza pesa kibao kumsaka badala ya kufanya mabo ya msingi

Comment by Masha waryoba on January 4, 2013 at 13:23
Mbona huyu bwana mdogo kajitafutia kesi isiyo ya lazima!!?Kwanza unaanzaje kuvaa sare za askari wakati ww siyo Askari,kwa maana kwamba unaihujumu nchi kwa kutumia nyara za serikali,ikiwemo combat ya jrshi!duh pole yake!!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*