Tulonge

Hii imechangia sana kuharibu maisha na kukatisha matarajio ya vijana wengi wa Kitanzania,ni kweli?

Mdau unatambua ni kitu gani hicho? Katika vitu ambavyo vimepelekea vijana wengi wa Kitanzania na Dunia kwa kujumla kupoteza uelekeo wa maisha yao na hiki kipo. Vijana wengi wamekua wakipoteza muelekeo wa maisha yao kutoka na madhara ya matumizi ya hiki kitu.

Kipindi cha nyuma ilikua ni adimu sana kuona au kusikia harufu ya hii kitu. Lkn siku hizi hadi watoto wadogo wanaifahamu harufu yake. Kwani inatumia sehemu yoyote bila uoga wowote. Si ajabu mtu kukaa sebuleni kwako ukahisi harufu ya hii kitu. Pia ni kawaida sana siku hizi mwanao(mtoto) kukwambia "Baba nahisi harufu ya nanihii....".

Tatizo linakuja pale hata wale wanaotakiwa kupiga marufuku matumizi ya hii kitu, na wao kutumia mia. Mbaya zaidi kumekua na tuhuma juu ya matumizi ya hii kitu hata kwa baadhi ya viongozi. Ilishawahi semekana kuwa hata baadhi ya wabunge wetu wanatumia hii kitu.

Tunategemea kupata Taifa gani la kesho kwa mwendo huu?

Views: 544

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on January 18, 2013 at 14:23

aah hiyo kitu mbona watu wanatumia tu mitaani hasa watoto wa shule za sekondari ni hatari jamani,wenyewe waita cha KYELA

Comment by Mama Malaika on January 14, 2013 at 17:06

Ha haa haa haa... William Massawe umenichekesha kama mazuri vile, hili sio tatizo la Tanzania pekee hata hapa Oxford University (UK) watoto wa wenyeji (wazungu) wanapuliza sana, nasikia kwao ni kama fashion na ipo vyuoni tabia hii tokea enzi. Wazungu wanashikwa na police kila siku wanazalisha bangi vyumbani kwenye makopo kama maua

Comment by william massawe on January 14, 2013 at 10:30

ukienda vyuo vikuu ndo utashangaa.....hautaamini!!!-----na si ajabu wabunge we2 wengi wana2mia kijiti!

Comment by Longumok L. Mollel on January 9, 2013 at 9:58

   yah, it is now part and parcel of our life And it realy hold our life span

Comment by Alfan Mlali on January 9, 2013 at 8:44

Kitu cha Arusha..

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*