Tulonge

Hiki ni kituko: Wanajeshi wa Kenya wakibeba bidhaa wakati wa shambulizi la Westgate Mall(video)

Maswali ya kujiuliza:-
1)Njaa ilikua inawauma, ulafi au hivyo viru ni vigeni kwao (wanajeshi)?
2)Muda wa kuanza kubeba bidhaa ulipatikana wapi wakati mapambano?
3)Hiyo style ya kuingia mlangoni ndo waliyofunzwa huko kambini? Kweli mnaingia kupambana na maadui halafu mnapanga mstari mmoja utadhani mnaenda kutoa sadaka kanisani?
4)Iweje wanaingia wame- relax utadhani wanaenda kupokea mshahara? Tena baadhi yao wameshika bunduki mkono mmoja huku wamezielekeza chini.
5)Iweje waingie wote kwa pamoja, halafu watoke wote kwa pamoja utadhani mpambano umeisha? Wakati hapo shughuli inaonekana bado mbichi kabisa.Hata damu ya yule mlinzi aliye uawa hapo reception bado ipo.

Sasa nimeanza kupata picha kwa nini magaidi wachache ndani ya jengo waliwapelekesha kwa muda wa siku takribani nne.

Views: 573

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on October 23, 2013 at 15:21

Mbulula ................

Comment by GEORGE DANIEL MKASSU on October 22, 2013 at 22:09

hakuna hatua yoyote watachukuliwa na ndivyo vyombo vyetu vya usalama vinavyofanya kazi,kwasasa ukipata nafasi iba km viongozi wakubwa wanaiba kodi zetu na kwenda kuweka uswisi unategemea nini ? kwa wanajeshi?acha wajilipe allowance yao big KDF,anayekutuma mwizi anaiba allowance yako wat next 

Comment by Tulonge on October 22, 2013 at 6:18

Yasemekana hawa wanajeshi walikunywa na bia pia.Kuna video nimeiweka ikieleza A-Z ya tukio hili.Check hapa http://tulonge.com/video/westgate-mall-siege-a-to-z-video?xg_source...

Comment by Mama Malaika on October 21, 2013 at 9:50
Hawa wanajeshi sijui wamechukuliwa hatua gani baada ya ushahidi huu wa CCTV?? Naona raia wa Kenya ambao ndugu zao walipoteza maisha kwenye tukio hili au kujeruhiwa watakuwa na hasira sana waonapo hii video.
Comment by Mama Malaika on October 21, 2013 at 9:43
Aibu kweli kweli @ Baraka.
Comment by BARAKA FRANCO CHIBIRITI on October 20, 2013 at 9:48

Duuuuhhhh.....!!!!! Hii ni aibu kweli kweli kwa Jeshi.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*