Tulonge

Jikumbushe jinsi Tyson alivyo mgeuza Evander kitoweo mwaka 1997

Holyfield - Tyson ll is a name used to identify the Boxing match between Mike Tyson and Evander Holyfield on June 28,1997, in which Tyson bit Holyfields ear. The fight was originally billed as holyfield - Tyson ll : The sound and the fury and was a follow - Up rematch of the first Tyson - Holyfield fight.

The fight took place at the MGM grand garden arena in las vegas, Nevada. The referee officiating the fight was mills lane, who was brought in as a late replacement when Tysons camp protested the original selection of mitch halpern (Who officiated the first fight) as the referee.

Views: 501

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on February 19, 2013 at 11:30

Tehe.. umekumbuka nini kutuwekea hili pambano ? Kwa mtazamo wangu .. Tyson alikuwa amezidiwa ndo akiliyake mbofu ikamtuma hivyo.. kuna jamaa angu nusu ani-tyson nilipomwambia Tyson alipigwa hadi akamtoa mtu sikio.. hahahaa!!! Michezo mingine siyo kabisa.

Comment by manka on February 19, 2013 at 11:28

tehe teheee@ Malkia ana ndude, kweli hawa watu hamnazo!! nilipiga picha akilini mwangu sikupa kabisaa jinsi Taison atakavyokuwa kama kweli amebadili jinsia.

Comment by Mama Malaika on February 19, 2013 at 9:45
ndio hao hao, ila uzuri wenzetu wanajua kunyambua hivyo hukusia magazeti ulaya wala watu kufatilia, USA wana udaku sana
Comment by Tulonge on February 19, 2013 at 8:56

Naikumbuka ile yaa Gadafi, kumbe ni hao hao ndo waliandika? Huku kwetu magazeti ya uongo(udaku) ndo yanaongoza kwa kununuliwa.Inamaana watz wengi tunapenda kudanganywa

Comment by Mama Malaika on February 19, 2013 at 8:18
Unaikumbuka ile blog ulo post mwaka 2011 kuwa Gadafi mwanamke? Ni hao waliandika na gazeti la bongo lika copy & paste
Comment by Mama Malaika on February 19, 2013 at 8:12
ujue ile site wana utani kama ule wa walevi wa wanzuki, wanaandika chumvi utani wao kwa umakini kama habari kamili ya ukweli.
Ha ha haaaaa
Comment by Tulonge on February 18, 2013 at 19:16

Hahahaahhaaa eti Queen Elizabeth ana ndude, umenivunja mbavu.

Comment by Mama Malaika on February 18, 2013 at 18:29
Hajabadirisha jinsia, na bado anaishi na mdada aliyezaa naye kale katoto anakoonekana nako sana kwenye magazines.
Dismas ile website waliyotoa habari ya Tyson usiifuatilie kabisa, ndio wale walisema Muamar Gadafi ni mwanamke. Pia Queen Elizabeth ni dume ana ndude. Ni site ya udaku, wanapenda ku-plank watu mashuhuri. Ha ha haaa
Comment by David Edson Mayanga on February 18, 2013 at 16:06

nikweli MANK hiyo jamaa kisha badilisha jinsia yake

Comment by Tulonge on February 18, 2013 at 15:05

Walimzushia Tyson wa watu,wala hakubadili jinsia

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*