Tulonge

Jinsi Diamond alivyo muumbua Wema Sepetu kwa kuikataa hela yake.

Kwa wale wasiyo fahamu, Wema(Miss Tz 2006) alikuwa mpenzi wa Diamond lkn walikorofishana.

Baada ya Diamond kurudi stejini ndipo mwanadada Wema Sepetu alienda kumtuza na pesa zake kukataliwa. Wema alikaa akimbembeleza kwa muda wa dakika 10 japo zoezi lake halikufanikiwa.

...Diamond aliendelea kuwajibika huku Wema akijaribu kumbembeleza

...Bembeleza, bembeleza na wewe jamaa ndiyo aliendelea kuwajibika

...Ndipo alipochukia na kuzitupia hizo hela stejini huku akiondoka huku akiwa amenuna

Baada ya Barnaba kuimba wimbo wa 'Napembelezwa' ndipo mwanadada Wema alienda kumtuza na kutoa machungu yake. Kwa mujibu wa uchunguzi na maoni ya watu mbali mbali walikiona kitendo cha Wema Sepetu kwenda mbele kumtuza Diamond ni sawa na kujidhalilisha na kuhusishwa na mambo ya kishirikina.

Chanzo: http://www.kajunason.blogspot.com/

Views: 1810

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on March 31, 2012 at 16:50

Tulonge@ mbona unataja namna hiyo atakapoelekea wema huyo na kunisahau mheshimiwa mimi wakati akija kwangu nitampokea!,hahaah

Comment by Tulonge on March 31, 2012 at 16:12

Duuh! sasa Wema si aachane naye. Ona alivyo umbuka sasa.Mbona wanaume wapo wengi, si aje kwa kina Kunambi, Bonnielly ,Alfan, Omari, Chaoga yani wengi tu. Ila kwangu ASIJE katika jina la YESU.

Comment by Alfan Mlali on March 31, 2012 at 15:35
hahahahaha.. safi sana hakuna kuendekeza mijamke yenye tabia mbaya!!
Comment by Msela Msela on March 31, 2012 at 12:35

Patamu hapo kweli.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*