Tulonge

Kama na wewe huwa una'tweet' fitna na majungu juu ya Mh.Halima Mdee basi hii inakuhusu

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, mbunge wa Kawe (Chadema) Mh. Halima Mdee aliandika ujumbe huo akiwapa taarifa wale wote wenye tabia ya kuandika maneno ya fitna na majungu juu yake.

Views: 591

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mjata Daffa on January 6, 2014 at 11:52

wacha siasa fanya kazi tuone, siasa za maneno zimepitwa na wakati, watanzania wanataka matokeo sio kuona vijembe mitandaoni. Timiza kwanza ahadi ulizotupa KAWE wakati wa kampeni otherwise 2015 M4C itakukumba hatuta angalia sura. (Peoples Power).

Comment by Hellen Attarsingh Gupta on January 6, 2014 at 11:06

Safi sana Mh. Hao watajiona wajinga wenyewe. Don't waste your time for them. Instead use that time for potential issues. Big up sana.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*