Tulonge

Kenya: Mshiriki wa BBA Amplified ashinda tiketi ya kugombea Ubunge

Millicent Mugadi

Big brother amplified,Millicent Mugadi,Mwanadada Mrembo na Mzuri kwenye Tasnia ya Uigizaji Nchini kenya Ameshinda Kinyang'anyiro cha ugombeaji uchaguzi unaoendelea Nchini Kenya....!!

Mill,Mlimbwede amabae ni mwanamke pekee anaefanya jitihada kubwa kabisa kugombea Ubunge katika jimbo nchini kenya kupitia chama cha TNA Kinachoongozwa na Nguli wa Siasa Nchini Kenya Uhuru Kenyata
akizungumza Millicent 'Sikujua kama uigizaji wangu wa Filamu

kipindi chote kama Ningeweza kumudu Siasa....kiukweli ni jambo ambalo nimeamua na niko tayari kwa mapambano kuelekea uchaguzi mkuu tarehe 4/3/2013.........

"Nimekuwa nikipata changamoto kubwa tokea nimejikita kwenye siasa lakini afrika inabidi tubadilike tuwape wanawake nafasi..., ambao wamejikita kwenye maendeleo ya jamii na si siasa pekee yake..!!

Pia Millicent aliendelea kusema "Mimi ni Mnyenyekevu sana na nafurahi kuona support nayopata kutoka kwa wananchi na mimi nawahaidi kufanya makubwa katika kipindi ntakachokuwa bungeni...!!

Views: 437

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*