Tulonge

Kenya: Wananchi wachoma majeneza 221 mbele ya Jengo la Bunge kupinga posho za wabunge za kufunga bunge la 10.

Wananchi wa Kenya jana waliandamana kutoka 'Uhuru Park' kuelekea Jengo la Bunge huku wakiwa wamebeba majeneza kwa ajili ya kwenda kuyachoma mbele ya Jengo hilo la Bunge. Tukio hilo lilifanyika kupinga posho kubwa ambazo wabunge hao walikua wamejipangia kulipana kwaajili ya kuhitimisha bunge la 10 la nchi hiyo.

 

Chanzo cha babari hakikutaja kiasi ambacho wabunge hao walijipangia kulipana, lakini ni kiwango ambacho kiliwastua Wakenya na kuamua kuandaa maadnamano ambayo waliyaita "State Funeral". Walimaanisha kuwa wanaenda kuwazika wabunge wote ambao hawaja tenda mema kwa wananchi wao.

Wakiwa kwenye maandamano kuelekea Jengo la Bunge.

 

Views: 785

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Kayay Faiz Junior on January 19, 2013 at 11:53

naamini tanzania tungekuwa na roho na maamuzi kama ya wakenya nchi yetu ingekuwa na utajiri mkubwa duniani...!tuna mali asili nyingi zina tumiwa hovyo kwa manufaa ya wachache

Comment by Christer on January 18, 2013 at 10:16

 "State Funeral". Safi sana, Tzania tumelala, hatuwezi haya!

Comment by Dixon Kaishozi on January 18, 2013 at 8:30

Dah!!! safi sana.. Ina maana "Kova " wa huko hakupata taarifa mapema ? tehehee.. Maana sijui kama kwetu hapa tunaweza fikia hapo.. hicho kichapo kitakachotembea.... sipati picha.. teh.. Na Dismas alivyo muoga... hahahahaaa ipo kazi!!

Comment by kabegulahamza on January 18, 2013 at 7:59
wanaona mbali.
Comment by Tulonge on January 17, 2013 at 22:12

Wakenya balaa, wakiamua wanafanya kweli.Unakumbuka mtiti wa walimu wa Kenya, walikomaa hadi mishahara ikaongezwa.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*