Tulonge

Kichwa hiki cha habari kuhusu Wema kumlipia Kajala faini kipo sahihi?

Hiki ni kichwa cha habari cha gazeti moja hapa Tanzania kuhusu suala la Muigizaji wa filamu za Kibongo Wema Sepetu kumsaidia msanii mwenzie Kajala kuepukana na kifungo cha miaka 7 jela baada ya kuamua kumlipia faini ya Tsh 13milioni.

Je kitendo alichofanya Wema ni kufuru? Nini maana ya neno kufuru. Msaada tutani wadau wa kiswahili

Views: 630

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on March 27, 2013 at 15:59

Nadhani ki habari inaweza kuwa sahii ili habari iuze lakini ki uhalisia sio jambo lililo fikia kuitwa kufuru ni matumizi ya kawaida na nimuhimu kumsaidia muhitaji kama uwezo upo.

Comment by Dixon Kaishozi on March 27, 2013 at 10:18

Mi nadhani si sahihi kutumika kwa hilo neno kwa msaada aliotoa!!!

Comment by kabegulahamza on March 27, 2013 at 8:28
jamani sasa hivi c tupo kwenye digatal.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*