Tulonge

Kocha wa Nigeria kujiuzuru baada ya kuiwezesha timu hiyo kutwaa Ubingwa wa AFCON jana

Kocha wa timu ya soka ya Nigeria Stephen Kishi ametangaza kujiuzuru mara tu baada ya mechi ya fainali kwisha.Kocha huyo aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na moja ya vituo vya redio huko Afrika Kusini.

 

Pia mangazaji wa Super Sport alithibitisha kujiuzuru kwa kocha huyo kupitia mtandao wa kijamii wa twitter, aliandika haya “stephen Keshi has just announced that he handed over his resignation letter after the game exclusively on 083Sport@6With Marawa on MetroFM”.

 

 

Views: 502

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ANANGISYE KEFA on February 12, 2013 at 9:31

safi sana keshi, unanikumbusha mwaka 2002 scorali alipochukua kombe la dunia na brazil akajiuzulu

Comment by Tulonge on February 12, 2013 at 9:10

Wachezaji bado hawajarudi Nigeria, nadhani wakiwasili tutajua nn kinaendelea@ Mgao

Unadhani wataonesha kwenye tv jinsi wachezaji watakavyopewa hiyo zawadi? teh teh teh teh

Comment by MGAO SIAMINI,P on February 12, 2013 at 8:51

wale warembo machangudoa walioahidi ngono kwa wachezaji vipi jamani wametoa mzigo maana ahadi si imetimia?

Comment by kabegulahamza on February 12, 2013 at 8:24
hongera sana,kwa kuwa umekuwa mmoja wa wafrika wachache kuachia ngazi kwa namna hiyo.
Comment by eddie on February 12, 2013 at 1:40

Huyu jamaa inasemekana aliwaacha ma-star wengi. Na kweli angekwama wangemtafuna mzima au asingerudi kule kwao upoponi!

Bora ajiondokee wakati  huu, maana akishindwa watamgeuzia kibao!

Comment by Bonaventura Angelo on February 11, 2013 at 22:55

kweli bwana, asingechukua kombe angeondoka kwa aibu, therefore is better aondoke sasa, ameshajenga jina kwahiyo no problem

Comment by Tulonge on February 11, 2013 at 22:36

Bora utambae zako, usije ukaharibu baadae na kuua jina lako. Maana sifa zote zitasahaulika

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*