Tulonge

Maneno ya Mh. Joseph Mbilinyi kufuatia kauli ya Waziri Mkuu "Nasema wapigwe tu"

Hapo juu ndicho alichokiandika Mbunge wa Mbeya mjini Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu kwenye ukurasa wake wa facebook kufuatia kauli ya Waziri mkuu Mh. Mizengo Pinda kuhusu watu watakao kataa kutii amri za vyombo vya dola.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ameagiza vyombo vya dola kuwashughulikia kwa kuwapiga wale watakaokataa kutii amri wakati wakifanya vitendo vya uvunjifu wa amani.

Views: 483

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by kabegulahamza on June 24, 2013 at 9:46

uwenda muheshimiwa pinda, hapo ndo upeo wake ulipoishia.

Comment by Christer on June 24, 2013 at 9:24

Kweli hana busara wala hakukaa na wenzake kujadili nini cha kuwaambia Watanzania naamini hata ndani ya CCM kuna waliokerwa na kauli yake ya uchochezi, AJIPANGE.

Comment by MGAO SIAMINI,P on June 23, 2013 at 11:43

Kweli we ni uncle sugu.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*