Tulonge

Mapacha wenye vichwa 2 na moyo 1 wazaliwa nchini Brazil !

 

Mapacha wawili walioungana wamezaliwa katika nchi ya Brazil.

 

Mmoja wa mapacha hao amepewa jina la Jesus na mwingine Emanuel.Mapacha hao wamezaliwa wakiwa ni wenye kushea mwili mmoja,wakiwa na vichwa viwli,migongo miwili (uti wa mgongo) lakini wakiwa na moyo mmoja.

 

Hali hii adhimu isiyo na kifani inasemekana kwamujibu wa utafiti wa kidaktari kwamba huweza kutokea pindi moja ya jozi inaposhindwa kustawi na kujiendeleza ndani ya tumbo.

 

Madaktari wamesema kwamba kuwatenganisha mapacha hao kwa sasa sio chaguo letu na itakuwa haifai kwa sababu mapacha hao wanashirikiana sawa  katika viungo muhimu vya mwili.

 

Na Chalii_a.k.a_ILYA

Views: 1365

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by manka on January 2, 2012 at 19:30

bonielly we kweli chizi, hahahaaa!

Comment by Alfan Mlali on January 2, 2012 at 17:46

hahahahahahhaahaha!@Bonielly

Comment by Bonielly on January 2, 2012 at 13:08

wangekuwa mwanamke na mwanamme ningeshindwa kukujibu br alfan, lkn wote ni wanawake na tofauti ni vichwa tu, kilakitu ni kimoja basi utawaomba kuchakachua, kama kuwabusu utawabusu wote, huku dk mbili na huku mbili naamini raha wote wataona raha, kama kuoa kabisa utaoa, tena ni vizuri maana watashauriana, mshikaji leo akilewa tumtolee uvivu mwengine atasema achana nae mpotezee, siku zinakwenda,

Comment by Bonielly on January 2, 2012 at 13:00

kila kitu mungu ndie mpangaji,

Comment by Alfan Mlali on December 24, 2011 at 0:02

hahahahha! Jamani kama mjuavyo binadamu hajakamilika bila mapenzi ndio maana nikauliza hilo swali...thethetehethe

Comment by Tulonge on December 23, 2011 at 23:18

Teh teh teh yani wewe Alfan mawazo yako yote yapo kwenye kuchakachuana tu. Kila kitu lazima uwaze kunjunjana.

Comment by ILYA on December 23, 2011 at 23:09

Hahahaha we Alfan nawe tabia gani hiyo ya kuuliza swali langu namna hiyo!!! Enewei jibu lake inabidi kujiandaa maana hili sio swali la kukurupuka na kujibu,unaweza ukakosea kujibu mchana kweupe.Ngoja kwanza nitafakari....

Comment by ILYA on December 23, 2011 at 22:58

Ndugu yangu wa Tulonge,kuhusiana na mapacha wa namna hii namba usome makala hii ili kupata Hints zaidi kuhusu hilo.Hebu bonyeza Kizenji link hii http://www.habarileo.co.tz/makala/?n=22396&cat=makala

Comment by Alfan Mlali on December 23, 2011 at 22:58

Mungu ni Mkubwa sana!

Sasa hao wadada iinakuwaje kwenye ishu ya mapenzi???!!!

Comment by Gratious Kimberly on December 23, 2011 at 22:55

Chalii hapo huko sawa...hao hapo chini ni kama asilimia 1% kati ya zote za matatizo haya na atu wanasema ni maajabu ya Alah...ila wengi wao hufariki, kama wanaotoka third world countries kama South America, Parts of asia na Afrika. Hao hapo chini unaona kabisa ni wazungu na bila shaka wanatoka kwenye nchi iliyo na uwezo mkubwa wa matibabu na familia yao iko sawa......ila kwa watu kama sisi ngedere...tulie tuu.....Thats real mdogo wangu!!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*