Tulonge

Michael Jordan alipofunga ndoa yake ya pili juzi

Aliyekua Mcheza kikapu wa Marekani Michael Jordan(50) alifunga ndoa yake ya pili na Mwanamitindo wa Marekani Yvette Prieto (34) jumamosi iliyopita. Harusi hiyo ilifanyika huko Florida na kuhudhuriwa na watu takribani 2,200 na iligharimu kiasi cha $10 milioni.

Harusi hiyo ilifanyika kwenye hema la ukubwa wa 40,000 sq ft lililojengwa karibu na nyumba anayoishi Jordan.

Mwaka 1989 Jordan aliwahi funga ndoa na Juanita Vanoy huko Las Vegas Marekani na baadae kutengana kwa talaka. Ndoa hii ilidumu kwa miaka 17, ilivunjika mwaka 2006. Juanita alikua amemzidi Jordan miaka 4. Walipofunga ndoa Jordan alikua na miaka 26 wakati Juanita alikua na miaka 30.Walijaaliwa kupata watoto watatu ndani ya kipindi hicho cha miaka 17.

Hapa ndipo sherehe ilipofanyika

Views: 478

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on April 30, 2013 at 20:34

Michael Jordan acheza kamari kuoa mwanamitindo aliye kicheche. Sijui kwanini Jordan hajifunzi toka kwa other Afro-Americans stars?

Comment by Monica on April 30, 2013 at 8:45
Duuuuu,.theeee,ha ha ha , AMA kweli pesa ni matumizi,bora azitumie mwenyewe kabla hajafa,
Comment by MGAO SIAMINI,P on April 30, 2013 at 8:43

hii ndio kufuru

Comment by mathias mwita on April 30, 2013 at 8:12

HIZI NI ANASA ZA SHETANI ADMIN, DOLLAR M 10!!!!!!! WAKATI WA2 TUNATESEKA NA VIDENI VY ELFU ISHIRINI TU NASHINDWA KULIPA?

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*