Tulonge

Morogoro: Kakakuona aonekana Hospitali ya Mkoa,alamba Jembe na Maji

Leo asubuhi mnyama anayeaminika kwa utabiri Ngakakuona ameibuka ndani ya hospital ya Rufaa ya mkoa wa Morogoro ambapo baada ya kuwekea vitu mbali mbali alichagua maji na Jembe.

Wachunguzi wa mambo walisikika wakisema kwamba utabiri wa mnyama huyo ambaye alichagua Maji na Jembe unaashiriki kwamba mwaka huu kutakuwa na mvua nyingi zitakazo ambatana na mafuriko,pia wachunguzi hao walidai kwamba kwa mnyama huyo kuchagua Jembe ni ishara kwamba mwaka huu wakulima watavuna mazao mengi.

Mnyama huyu amechagua majia kwa kuyanywa na baadae kuyakoroga misiri ya mafuliko hivyo ametabiri mwaka huu mvua zitakuwa nyingi sambamba na mafuliko pia alichagua Jembe akitabiri kwamba mwaka huu utakuwa sio mwaka wa njaa wakulima watalima na kuvuma kwa wingi"alisema mzee mmoj aliyejitambushwa kwa jina la Jonas Mkude.

Chanzo: audifacejackson.blogspot.com

Views: 414

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on January 24, 2013 at 12:00

Huyu na Mamlaka ya Hali ya hewa Tz nani zaidi? teh teh teh

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*