Tulonge

Msichana aliyedhaniwa kufanya mapenzi ndani ya Toyota IST huko Bukoba akanusha

Huu ni ujumbe ambao uliandikwa na Tracy Kamwite kwenye ukurasa wake wa tovuti ya websta.me akikanusha uvumi kwamba yeye ndiye aliyekamatwa akifanya mapenzi ndani ya gari (Toyota IST) huko Bukoba

Baada ya kifo cha Bw Leonard Mtensa(50) kilichotokea huko Bukoba muda mfupi baada ya kufanya mapenzi ndani ya gari (Toyota IST ) na msichana aliyeripotiwa kwa jina la Jackline Hassan, picha hapo chini ilizagaa kwenye mitandao ya kijamii na baadhi ya magazeti hapa Tanzania ikisemekana ndiye msichana aliyekuwa akifanya mapenzi ndani ya gari.

Hii ni picha ya binti iliyosambaa mitandaoni na katika baadhi ya magazeti ikisemekana kuwa ndiye binti aliyekuwa akifanya mapenzi ndani ya gari. Jina halisi la msichana huyu ni Tracy Kamweti ambaye ni Mkenya aliyejaaliwa kuwa na umbo zuri na kupelekea kuwa maarufu kwenye mitandao ya kijamii. Itakumbukwa jina la msichana aliyeripotiwa ni Jackline Hassan lakini picha iliyosambaa kwenye baadhi ya magazeti na blogs mbalimbali ni ya Tracy.

Tulonge.com ilifanya utafiti juu ya picha hiyo na kugundua kuwa kuna utata na yawezekana siyo msichana halisi ambaye alikua akifanya mapenzi ndani ya gari hilo.

Zifuatazo ni Picha zaidi ya mwanadada Tracy

Tracy

Tracy kushoto akiwa na rafikiye

Tracy kulia Tracy

Ushauri: Baadhi ya Magazeti na mitandao ya kijamii ya Tanzania ni vizuri kufanya utafiti kabla ya kutoa habari kwa jamii.

Views: 3605

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on November 27, 2014 at 7:59

Duh...............Dada wa watu masikini

Comment by ANGELA JULIUS on November 25, 2014 at 17:46

duh social media ni balaa asante Tulonge

Comment by Tulonge on November 24, 2014 at 21:02

pa1 Dixon

Comment by Dixon Kaishozi on November 24, 2014 at 10:09

Asante kwa ufafanuzi. Watu tunakurupuka sana na kurusha habari ambazo hazina ukweli ndani yake!!

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*