Tulonge

Mtu mmoja afariki dunia, 38 wajeruhiwa baada ya basi kugonga kichwa cha treni

Mtu moja amefariki duni na wengine 38 wamejeruhiwa baada ya basi la Bunda kugonga kichwa cha treni katika makutano ya reli na barabara wilayani Manyoni.

 

Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambayo imehusisha basi la Bunda lenye usajili wa namba T 782 BKZ lililokuwa likitokea mkoani Dodoma na kuelekea mkoani Mwanza, mkuu wa wilaya ya Manyoni bi Fatuma Toufiq amesama ajali hiyo imetokea majira ya asubuhi saa mbili tarehe 28 katika makutano ya barabara na reli mjini Manyoni.

 

Akiongea na ITV na Radioone muuguzi mkuu wa haspitali ya wilaya ya Manyoni Bi. Heliechi Malisa amesema wamepokea maiti moja ambayo imetambulika kwa jina la Perina Bikombo mkazi wa Manyoni na majeruhi thelasini na nane wamelazwa na wanapatiwa matibabu katika hospitali ya wilaya ya Manyoni.

Chanzo:ITV

Views: 1683

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Jeath Justin Prosper on April 10, 2014 at 18:02

Aaha Admin...Dsimas hii taarifa nadhani umekosea kicha cha Habari.....kilitakiwa kuwa hivi...

"Mtu mmoja afariki dunia, 38 wajeruhiwa baada ya basi kugongwa na kichwa cha treni".

Comment by CHA the Optimist on March 4, 2014 at 19:06

Huwa sielewi. Ni kwa vipi Train igonge gari? Anayeendesha huwa haoni, au train huwa haina breki?

Comment by Mama Malaika on March 1, 2014 at 16:42
Mungu amlaze pema peponi, na kuwaponya majeruhi.

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*