Tulonge

Mwanamke katili akimpa kipigo kikali binti kwa tuhuma za kutembea na 'boyfriend' wake

Katika pitapita nimekutana na video hii ambayo inamuonesha mwanamke akimpa kipigo kikali mwanafunzi wa kike baada ya kugundua kuwa alikua na uhusiano na 'boyfriend' wake. Mwanamke huyo alimkaribisha mwanafunzi huyo nyumbani kwake na baadae kufunga mlango na kuanza kumpa kipigo kikali. Nimeshindwa kujua tukio hili limetokea sehemu gani lkn inaonekana ni nchi za Africa Magharibi.


Views: 604

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Dixon Kaishozi on October 24, 2013 at 10:29

Nimeshindwa kuangalia video yote!!! Inasikitisha sana.. Huyo mama FALA angejiuliza boyfriend wake alifata nini kwa huyo binti ambacho yeye hakuweza kumpa na kama kichapo angepigana na jamaa yake na si huyo binti.. kwani binti ye kafatwa tu!!! 

Comment by ANANGISYE KEFA on October 12, 2013 at 10:40

mapenzi na shule alijiimbia vicky kamata

Comment by aminather kingu on October 12, 2013 at 9:44

jamani binadamu wengine kama wanyama

Comment by ANGELA JULIUS on October 12, 2013 at 8:53

KAJIIMBIA JUMA NATURE UBINADAMU KAZI.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*