Tulonge

Mwanamke wa Kitanzania akamatwa na dawa za kulevya China

Pichani ni mwanamke huyo wa Kitanzania (akiwa amefunikwa uso) aliyekamatwa na kilo 1.1 za heroin huko Macau. Hapo amepigwa picha na vidonge vyake wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari mjini Macau, Disemba 19, 2013.
Mwanamke wa Kitanzania mwenye umri wa miaka 28 amekutwa na kilo 1.1 za madawa ya kulevya aina ya heroin alizokuwa amezihifadhi tumboni mwake,baada ya kukamatwa huko Macao, nchini China. Dawa hizo zenye jumla ya vidonge 66 vinakadiriwa kuwa na thamani ya dola za Kimarekani 137,720.

Mwanamke huyo alikuwa akisafiri kutoka Thailand akielekea Macao Jumanne iliyopita. Aliwaambia polisi kuwa alikuwa anaelekea Guangzhou ambao ni mji wa jimbo la Guangdong huko Chima.

Via: Issamichuzi blog

 

Views: 520

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Omary Maftuhi Mwinshekhe on December 31, 2013 at 16:32

Maisha mapambano kuna kushinda na kushindwa. Pole sana wengi tunajifunza kupitia wachache

Comment by David Edson Mayanga on December 31, 2013 at 1:53

KAMA KAWAIDA YENU MABINTI WAPENDA MITEREMKO

Comment by Frank Weston on December 30, 2013 at 17:54
Pole zake,maisha ni vita,wenzake walipigana sasa wana vogue, yeye kawahiwa na adui maisha yanaendelea.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*