Tulonge

Nadhani hiki ni kipindi pekee cha wasanii wa Bongo kujiachia kwa kugonga '5' na Rais wao.

Rais Kikwete ni pekee kati ya Marais wote ambaye ameonesha ukaribu zaidi na wasanii hasa wa muziki wa kizazi kipya wa Tanzania. Pichani akigonga 'tano' na mwanamuziki Crazy GK wakati alipowakaribisha wasanii hao Ikulu hivi karibuni kwaajili ya kufuturu nao.

Sina hakika kama wasanii wa Tanzania wamewahi pata bahati hii ya kugonga 'tano' na Rais wao. Jaribu kuvuta picha msanii anagonga 'tano' na Nyerere, Mwinyi au Mkapa.

Views: 536

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by salum kitila on September 18, 2013 at 17:05

mmh hizo comment zako nawe ,m2 akiwa karib na wasanii mnasemasema akiwa mbali nao mnasema sa mnatakaje..

Comment by ANANGISYE KEFA on August 7, 2013 at 7:32

huyo rais naye ni masanii

Comment by Mama Malaika on August 6, 2013 at 23:23
Nyerere alikuwa na utani na watu aliokuwa nao akifanya kazi, na alikuwa na mipaka. Hivi sasa unaona mengi sababu Ikulu imegeuzwa kuwa kama kijiwe cha wauza unga. It's sad but true......
Comment by Christer on August 6, 2013 at 12:15

Nyerere possible kabisa na vituko vyake vile hata tano ya mguu, nini mkono angegonga ila hao wengine mmmmh

Comment by Tulonge on August 6, 2013 at 0:11

Teh teh teh picha ya kugonga 'tano' na Mh. Mkapa haiji kichwani kabisa.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*