Tulonge

Nani asiye amini kuwa Diamond yupo juu?

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond, jana alikonga nyoyo za mashabiki ndani ya ukumbi wa Mlimani City Dar. Shoo yake kali ilifanya watu kusimama mara kwa mara kuonesha kukubali kazi yake. Ona tukio hilo ktk picha. Picha zote na http://michuzijr.blogspot.com


Diamond akimchombeza Jokate

Hapa akiwa na Mama yake

Views: 690

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Neema Morris on March 31, 2012 at 15:52

umeona hata mimi na amini hivyo

Comment by Tulonge on March 31, 2012 at 9:55

Mimi naamini Diamond ni 'level' nyingine ya juu kabisa

© 2022   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*