Tulonge

Ni sahihi kwa askari huyu kutenda hili?

Ni haki kwa askari wa usalama barabarani kufanya kitendo hiki? Sina hakika tukio hili lilitokea eneo gani. Lkn uniform za Kondakta, rangi ya gari na uniform ya askari vinaonesha tukio hili lilitokea hapa Dar es Salaam.

Juzi kuna dereva mmoja alitiwa mikononi mwa polisi kwa kosa la kumkunja mkono askari wa usalama barabarani, na atafikishwa mahakamani muda wowote. Sina hakika kama askari huyu alichukuliwa hatua yoyote kwa kitendo hiki.

Kama kuna mdau najua lolote kuhusu hili atujuze.

Views: 522

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on May 2, 2013 at 15:08

sio sahihi

Comment by ANGELA JULIUS on April 27, 2013 at 10:42

lol wewe kiboko Tulonge huyu askari namjua sana tuu anaitwa Michael kwa sasa yupo pale ubungo na ana kawaida ya kuwaonea makonda na madereva sasa sijui hajui kuwa cheo ni dhamana

Comment by eddie on April 26, 2013 at 0:37

Sidhani kama askari ana haki ya kumpiga mtu.  Au amejichukulia mwenyewe uamuzi. Tatizo linaweza kuwa watu wengi hawajui sheria gani inamlinda.

Huenda yule jamaa aliyemkunja polisi mkono ni kama ametikisa mzinga wa nyuki sasa wameamua kulipiza kisasi!

 

Comment by Mustafa Idd on April 25, 2013 at 22:10

hapana si sahihi kabsaa hana jukumu lakumpiga wala kumburuza,ebu ninyi askari kuweni waadilifu katika kazi,kwani huo si utaratibu wakazi zenu,

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*