Tulonge

Nigeria: Mabinti watengeneza 'Generator' inayo endeshwa kwa mkojo wa Binadamu

We've all heard the expression "haste makes waste," but how about waste making energy? At the fourth annual Maker Faire Africa in Lagos, Nigeria, a quartet of teenage girls ages 14 through 15 have created a urine-powered generator. This eco-friendly energy source cranks out six hours of electricity for every liter of human bodily fluid by separating the excretion's hydrogen with an electrolytic cell. While this method of human waste disposal seems promising, the device has the potential to be a pee-powered biobomb and will need more than its limited safety measures before you're able to pick one up at your local hardware store. However, if this can help us save a few bucks on our energy bill, then we need to introduce these girls to these guys posthaste.

Views: 575

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by York David Drexell on November 21, 2012 at 7:44

Hawakutengeneza Generator but walifanya uchunguzi ambao ulibaini kuwa Generator inaweza kufanya kazi na kuzalisha umeme kwa kutumia mkojo wa binadam.

Walitumia Generator ambayo tayari ilikuwa assembled and imported from China, Ni kweli wameonyesha upeo mkubwa katika ugunduzi wao (sio ubunifu), Ila Jamii haikusumbua kichwa ili kuona uwezekano wa jambo hili kama lilivyo.


Ikiwa kweli waliweza kubuni kizalisha umeme chenye kutumia asidi izalishwayo kwa haja ya binadamu, bilashaka tusingeona mtungi wa gesi na water filter container vikiwa vimetengana na kizarisha umeme husika.

Wakenya wale waliowahi kugundua amakuona uwezekano wa gari kuweza kutumia ngu za umeme, waliweza kuhojiwa kwa kina na mwishowe walikubali kuwa walitumia teknolojia ambayo tayari inatumika katika baadhi ya nchi fulani na kuomba msamaha kwa serikali, msamaha ulikuja baada ya kampuni bunifu iliyobuni ama kugundua teknolojia ile kuihoji serikali ya kenya kwa kile ambacho wanafunzi wale walifanya.

Ni kweli Generetor sasa inatumia mkojo wa binadamu (kama wanavyodai) lakini je, unatija kiasi gani kwa jamii?, Je watafaidika vipi kutokana na ugunduzi wao?.

Maswali ni mengi katika hili na majibu hayawezi kuwa ya kuridhisha hata kidogo.

Comment by Geoffrey Masai on November 17, 2012 at 11:36

MAISHA YA KUTAFUTA MIKOJO KILA SIKU KWA WATU, UNAWEZA KUITWA MCHAWI BULE, ILA PONGEZI KWA AKINA DADA.

Comment by manka on November 15, 2012 at 12:49

YANI WEWE DISMAS HUISHI VITUKO!

Comment by manka on November 15, 2012 at 12:48

HONGERENI SANA MABINTI , HII NDIYO AFRICA BWANA!!

Comment by Dixon Kaishozi on November 14, 2012 at 16:03

Hahahaaaa... mkojo wa mlevi nadhani utakuwa 12hrs per liter ...

Comment by Mama Malaika on November 14, 2012 at 13:46

Ha haa haaa.... Inabidi wasichukue mkojo wa walezi.

Comment by Tulonge on November 14, 2012 at 13:40

Teh teh teh ila mkojo wa walevi waweza sababisha generator ikaungua

Comment by Mama Malaika on November 14, 2012 at 13:31

6hrs of electricity for every litre of urine? Ukisikia Green technology basi hii invention ya mkojo ni mojawapo. Hongereni mabinti, habari kama hizi ndio zipambe magazeti yetu ili watoto wawe inspired na sio celebrities wenye kuuza sura na habari zao chafu chafu 

Comment by Christer on November 14, 2012 at 13:18

Together we can (Women), safi sana young ladies!!!!! Dogo acha longolongo.

Comment by Tulonge on November 14, 2012 at 12:56

Nadhani mkojo wa mwanaume unaweza kuendesha generator hii vzr zaidi teh teh teh. Hongereni mabinti.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*