Tulonge

Muone Mama anayeongoza genge la wezi wa magari Kenya.

Views: 681

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Bonielly on January 9, 2012 at 12:18

wanawake wa tanzania wengi waoga, ukiangalia ujasiriamali wengi ni wake wa wakubwa, waliambiwa waliozaliwa siku ya uhuru wamejitokeza waliokuwa maserikalini tu tena kumi, kuandamana utakuta wasichana tena wachache sasa kucheza kaisuue kakubwa kama haka angela ataweza kweli?

Comment by ANGELA JULIUS on January 3, 2012 at 18:37

ha ha ha Lyatuu Olivia unanichekesha dada yangu, Mama Malaika umesema kweli

Comment by Mama Malaika on January 3, 2012 at 14:25

Hapa UK tunaogopa kufanya urafiki wa karibu na wanawake toka Kenya, ni wezi ajabu halafu huwezi kuwajua hata kidogo ni wasiri mno wanavyoendesha shughuli zao za wizi kuanzia magari hadi kuiba vifaa toka kwenye maghala ya kuhifadhiwa vifaa. Na hayo maghala yanawekewa alarms na bado watu wanaweza kupenya na kuiba.

Wazungu na ujanja wao wote kuweka alarms & tracking devices kwenye magari yao bado magari mengi ya kisasa hasa luxury cars zinaibiwa sana. Magari yanayoibiwa UK kupelekwa Africa nasikia idadi kubwa hupelekwa Kenya & Nigeria

Comment by Mama Malaika on January 3, 2012 at 14:10

Kwa mwanamke wa kikenya wala sishangai, na huyo wala sio wa kwanza. 

Comment by manka on January 2, 2012 at 19:20

angela kweli waniacha hoi, haya wanawake wanaweza weza wanaweza ujambazi wanaweza weza wanawezaaa!!

Comment by manka on January 2, 2012 at 19:19

chalii huyo mama alivyombabe, angalia asije kupa wewe kibao cha kilo mbili na nusu, hahaaaaaa.

wa mama wa key apana chezea ni wababe mbaya.

 

Comment by Alfan Mlali on January 2, 2012 at 19:06

Duh...Inabidi kigari kangu nikakisajili kwa hawa jamaa wanaotrack magari maana wezi wengi siku hizi!!!

Comment by ANGELA JULIUS on January 2, 2012 at 17:37

IL YA NAVOKUJUA MWILI WENYEWE UPO WAPI SHEMEJI YANGU AU UNATAKA MDOGO WANGU AKUKOSE DUNIANI? HA HA HA . HUYU MAMA CHIBOKO WANAWAKE NAO TUNAWEZA ILA SI KWA UJAMBAZI KAMA HUYU MAMA WA KIKENYA

Comment by Bonielly on January 2, 2012 at 11:39

huyu mama kiboko, mama alishaona tayari mambo yameharibika, kilichobaki atumie ubabe lkn keshaingia kwenye mikono ya wanaume haishaidii,

Comment by ILYA on January 1, 2012 at 21:17

yaani huyu mama wizi akikatisha kwenye anga zangu namkatia kipande cha kofi lenye uzito wa kilo mbili na nusu.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*