Tulonge

Nimeipenda hii:Wabunge wakisaidia kuokoa waliofukiwa Moram

Kushoto ni Mh. Godbless Lema Mbunge wa Arusha mjini na Mh. Joshua Nassari Mbunge wa Arumeru Mashariki wote wa CHEDEMA wakisaidia kuokoa miili ya walifukiwa na kifusi huko Moram Arusha.

Views: 604

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by BARAKA LAZARO LAIZER on April 3, 2013 at 21:23

INNAH LILLAH WA INNAH LRAAJIUUN,

Comment by Tulonge on April 3, 2013 at 18:49

Mkuu Mjata unajua smtimes hata kwenye msiba kinaweza ibuka kitu cha kuchekesha kikakufanya ucheke/utabasamu hata kama upo kwenye msiba. Au hujawai ona?

Comment by Mjata Daffa on April 3, 2013 at 15:57

mbona kuna sura 2 hapa, wakati NASARI amenuna! LEMA anacheka. kweli siasa mbaya.

Comment by Mama Malaika on April 3, 2013 at 15:08

Hii ndio maana ya Cheo ni Dhamana, sio viongozi wanaohudhuria misiba ya watu maarafu tu na kusahau walalahoi wanapopatwa shida.

Comment by Mjata Daffa on April 3, 2013 at 11:59

Hapo sawa lakini isiwe SIASA maana mko wenyewe tu hapo mbele hivi kweli hata wanajeshi mmewashinda? mmmh!!

Comment by Christer on April 3, 2013 at 11:23

SAFI CHADEMA

Comment by MGAO SIAMINI,P on April 3, 2013 at 10:39

hii safi sio kulalamika tu take action, peoplezzzzzzzzzzzzz...................

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*