Tulonge

Ona dereva huyu alivyo mfanya trafiki eneo la Mwenge Dar


Mzozo mzito umetokea katika eneo la Mwenge jijini Dar es salaam na kusababisha askari wa usalama barabarani aliyekuwepo katika eneo hilo kuwa katika wakati mgumu baada ya kukunjwa wakati akiamua ugomvi baina ya madereva wawili.

Views: 494

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on January 9, 2014 at 19:24
Kaka Eddie... Bongo ubabe kila pahala kuanzia bungeni hadi barabarani, kila mmoja atunisha misuri. Lol....
Comment by KUNAMBI Jr on April 24, 2013 at 14:36

huyo jamaa atakua kajiamini sana

Comment by MGAO SIAMINI,P on April 24, 2013 at 11:55

KITENDO  CHA KUMKUNJA AFIA USALAMA NI UTOVU MKUBWA WA NIDHAMU NA NI UVUNJIFU WA SHERIA LIKAMATWE HILO BWEGE.

Comment by Longumok L. Mollel on April 24, 2013 at 11:22
mwenye nguvu mpishe
Comment by David Edson Mayanga on April 24, 2013 at 10:21

makubwa tena yanatisha kabisa jama hayo 

Comment by eddie on April 24, 2013 at 9:02

Huyu dereva aliyemkunja mkono Police angekuwa nchi nyingine angejuta kuzaliwa!

Comment by Tulonge on April 23, 2013 at 23:56

Smtimes ubabe unaweza ukaku-cost

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*