Tulonge

Orodha ya wasanii waliotajwa kuwania 'Kili Music Awards 2013'

Majina ya wasanii watakaowania tuzo za Kili mwaka 2013 yametajwa leo.

 

WIMBO BORA WA MWAKA
Dear God - Kala Jeremiah
Leka dutigite - Kigoma all star
Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe
Me n U - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee
Pete- Ben pol

 

MSANII BORA WA KIUME
Ben Pol
Diamond
Linex
Mzee Yusuf
Ommy Dimpoz

 

MSANII BORA WA KIKE
Isha Mashauzi
Khadija Kopa
Lady Jaydee
Mwasiti
Recho

 

MSANII BORA WA KIKE - TAARAB
Isha Mashauzi
Khadija Kopa
Khadija Yusuph
Leila Rashid

 

MSANII BORA WA KIUME - TAARAB
Ahmed Mgeni
Hashim Said
Mzee Yusuf

 

MSANII BORA WA KIUME - BONGO FLAVA
Ally Kiba
Ben Pol
Diamond
Linex
Ommy Dimpoz

 

MSANII BORA WA KIKE - BONGO FLAVA
Linah
Mwasiti
Recho
Shaa

 

MSANII BORA WA HIP HOP
Fid Q
Joh Makini
Kala Jeremiah
Profesa J
Stamina

 

MSANII BORA WA KIUME-BENDI

Chalz Baba
Dogo Rama
Greyson Semsekwa
Jose Mara
Khaleed Chokoraa

 

MSANII BORA WA KIKE-BENDI
Anneth Kushaba
Luiza Mbutu
Mary Lucos
Vumilia

 

MSANII BORA ANAYE CHIPUKIA
Ali Nipishe
Angel
Bonge la Nyau
Mirror
Vanessa Mdee

 

VIDEO BORA YA WIMBO YA MWAKA
Baadae - Ommy Dimpoz
Kamili gado - Professor J Feat Marco Chali
Marry Me - Rich Mavoko
Nichum - Bob Junior
Party Zone - AY Feat Marco Chali

 

MTUNZI BORA WA MASHAIRI - TAARAB
Ahmed Mgeni
Hemed Omary
Khadija Kopa
Mzee Yusuf
Thabit Abdul

 

MTUNZI BORA WA MASHAIRI - BONGO FLAVA

Ally Kiba
Barnaba
Ben Pol
Linex
Ommy Dimpoz

 

MTUNZI BORA WA MASHAIRI - HIP HOP
Fid Q
Joh Makini
Kala Jeremiah
Mwana Fa
Stamina

 

MTUNZI BORA WA MASHAIRI - BENDI

Chalz Baba
Grayson Semsekwa
Jonico Flower
Jose Mara
Khaleed Chokoraa

 

MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA-MUZIKI WA KIZAZI KIPYA
Bob Junior
Ima the boy
Man Water
Maneke
Marco chali
Mensen Selecta

 

MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA-TAARAB

Bakunde
Enrico

 

MTAYARISHAJI WA WIMBO WA MWAKA-BENDI

Allan Mapigo
Amoroso

 

MTAYARISHAJI CHIPUKIZI WA MWAKA
Imma the Boy
Mensen Selecta
Mr T Touch
Sheddy Clever

 

RAPPA BORA WA BENDI
Fagasoni
Greyson Semsekwa
J4
Jonico Flower
Sauti ya Radi

 

WIMBO WENYE VIONJO VYA ASILI
Aambiwe - offside trick
Atatamani - AT
Boma la utete - Young D
Chocheeni kuni - Mrisho Mpoto Feat Ditto
Mdundiko - Momba Feat Juma Nature

 

WIMBO BORA WA BENDI
Chanzo ni sisi - Mapacha watatu
Jinamizi la Talaka - Mlimani Park Orchestra
Risasi kidole - Mashujaa band
Shamba la twanga - African Stars band

 

WIMBO BORA WA REGGAE
Hii si ya waoga - Yuzzo
Kilimanjaro - Warriors from The East
NATAFUTA PARADISE - Mac Malick Simba
Salvation - Delayla Princess
Tunda - Hardmad

 

WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI
Fresh All Day - Camp Mulla
Make you dance - Keko Feat Madtrax
Maswali ya polisi - DNA
Still a Liar - Wahu
Valu Valu - Jose Chameleone

 

WIMBO BORA WA BONGO POP
Aifola - Linex Feat fundi Samweli
Baadae - Ommy Dimpoz Feat Angel
Chuki Bure - Sharo Milionea Feat Dully Sykes
Marry Me - Rich Mavoko
Me and you - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee

 

WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA/KUSHIRIKISHWA
Chuki Bure - Sharo Millionea Feat Dully Sykes
Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe
Me and U - Ommy Dimpoz Feat Vanessa Mdee
Sihitaji marafiki - Fid Q Feat Yvonne
Single Boy - Alikiba Feat Lady Jaydee

 

WIMBO BORA WA HIP HOP
Alisema - Stamina Feat Jux
Bum kubam - Nikki wa Pili Feat G Nako
Dear God - Kala Jeremiah
Nasema Nao - Nay wa Mitego
Sihitaji Marafiki - FID Q Feat Yvonne

 

WIMBO BORA WA RnB

Amerudi - Belle 9
Kuwa na Subira - Rama Dee Feat Mapacha
Maneno maneno - Ben Pol
Pete - Ben Pol

 

WIMBO BORA WA RAGGA/DANCEHALL
Je ni nani - Ras Six
Muda upite - Susu Man
Predator - Dabo
Push Dem - Dr Jahson
Take it down - Chibwa and Tanah

 

WIMBO BORA WA TAARAB

Mjini chuo kikuu - Khadija Kopa
Mpenzi chocolate - Jahazi [Mzee Yusuph]
Si bure una mapungufu - Isha Mashauzi [Mashauzi Classic]
Sina muda huo - Jahazi [Leila Rashid]
Siwasujudii Viwavi jeshi -Isha Mashauzi [Mashauzi Classic]

 

WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA
Gubegube -Barnaba
Mapito - Mwasiti Feat Ally Nipishe
Nashukuru umerudi - Recho
Ni wewe - Amini
Sorry - Barnaba

 

BENDI BORA YA MWAKA CD1

African Stars Band
Mapacha wa tatu
Mashujaa Band
Mlimani Park Orchestra [Sikinde]
Msondo Ngoma Music band

 

KIKUNDI BORA CHA TAARABU

Dar modern Taarab
Five stars modern Taarab
Jahazi Modern Taarab
Kings modern Taarab
Mashauzi Classic

 

KIKUNDI BORA CHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA
Jambo squad
Makomando
Tip Top Connection
Tmk wanaume family
Weusi

Views: 298

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*