Tulonge

Picha 12 zikionesha taswira ya Dar enzi hizo.

Hivi ndivyo ilivyokua Askari Monument enzi za Mjerumani.Kulikuwa na statue ya jemedari wa kijerumani Von Wissman

Hapa ni maeneo ya Mnazi Mmoja

Aga Khan Hospital 1964

Hapo ni Mahakama Kuu,picha ilipigwa ubavuni mwa jengo

IPS chini na lile duka la Tanzania Elimu Supplies 1985

New African Hotel

Oyster-Bay-DSM

Posta ya Zamani

Ralway Station

Samora Avenue, enzi hizo ilikua ikiitwa Independence Av in 1979

Kanisa la St.Joseph

Eneo la Askari Monument Posta 1974

Views: 1497

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by kabegulahamza on January 18, 2013 at 7:55
kweli,tumetoka mbali foleni hakuna kabisa,enzi hizo pia nadhani kama hauna kazi au kitu cha kufanya c rahisi kufika posta na cyo kama sasa.
Comment by Tulonge on January 17, 2013 at 14:23

Naona hicho kinang'aa kweli

Comment by Mama Malaika on January 17, 2013 at 13:58

Comment by Mama Malaika on January 17, 2013 at 13:46

Ni kweli Dismas... vilikuwa vingi mno. 

Comment by Tulonge on January 17, 2013 at 13:12

Halafu hivyo Vi-Kobe inaelekea vilikua vingi sana enzi hizo. Kimeonekana kwenye picha 5 hapo juu.

Comment by Christer on January 17, 2013 at 7:57

Teheeeteheteheteeteeeeheeheheteheee dogo bi kidude atakujulia wapi wewe kinda wa jana!

Comment by Mama Malaika on January 16, 2013 at 18:05

Halafu hilo bus lilivyo, lanikumbusha muundo wa yale magari (buses) ya kizamani yaliyokuwa yanamilikiwa na Shirika la Reli (TRC) tulikuwa tunapanda enzi hizo kwenda mikoa ya Iringa hadi Itungi Port (Kyela) ambako TAZARA ilikuwa haipiti, barabara zilikuwa mbaya usisikie na mvua ikinyesha yalikuwa yanachukua hadi 4-5 kufika Mbeya. Nakumbuka watu walikuwa wanabeba wali, ugali hadi madumu ya maji ya kunywa kwenye bus. Tanzania imetoka mbali jamani upande wa usafiri wa barabara msisikie.

Comment by Mama Malaika on January 16, 2013 at 17:49

Kweli Dismas... TZ kilikuwa KOBE. Nimeona zimetolewa mpya hapa Europe na German car motor (Golf), kwa nje muundo ni huo huo wa kizamani tena na rangi zile zile za kizamani ikiwemo njano na light blue. Ngoja niangalie kwenye pendrive zangu, nina picha nilipiga

Comment by Nangi yuleyule on January 16, 2013 at 17:32

Mnanikumbusha mbali sana,kipindi hicho nilikuwa mlinzi wa Posta.hivyo mpiga picha nilikuwa nampa ruhusa mimi ya kuchukua majengo hapakuwa na Rushwa kile Kipindi.

Comment by Tulonge on January 16, 2013 at 17:26

Mama hicho kigari cheupe kilichopo ktkt ya barabara kwenye picha ya Mnazi mmoja tulikua tunakiita KOBE. Siku hz vimepotea kabisa.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*