Tulonge

Picha nyingine jinsi wanafunzi wa IFM walivyo dhibitiwa (picha 6)

Via: wavuti.com

Views: 750

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Alfan Mlali on January 21, 2013 at 18:35

Dha, ina maana jamaa alipigwa hadi akajikojolea?? Huu ni unyama jamani..Polisi badala kulinda amani wao ndio wanavunja amani.

Comment by Dixon Kaishozi on January 21, 2013 at 16:04

Dah... huu ni zaidi ya unyama. utu wa mtu upo wapi ?

Comment by Tulonge on January 20, 2013 at 15:27

Umenena vema Masha

Comment by Masha waryoba on January 20, 2013 at 13:53
Ifike kipindi tuchukue hatua vijana nchini tanzania,hiii ndo nchi inayosifika kama kituo cha Amani!!!wakati vitendo vya Askari kuua na kunyanyasa raia vimekuwa vikiripotiwa kila kukicha!!hebu kwenye katiba mpya Tuweke maoni ya Wanafunzi wote kuanzia kindergatern hadi chuo kikuuu kulindwa na sheria!!maake vinginevyo,vijana wa chuo watavunjwa mbavu kila kukicha.
Comment by Tulonge on January 20, 2013 at 7:03

Mmmh! kwa hakika watoto walipigika

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*