Tulonge

Picha za mpambano wa masumbwi kati ya Wolper VS Mdee, na Aunt Vs Bulaya

Mbunge wa jimbo la Kawe Mh. Halima Mdee kushoto akipambana na Bongo Movie Star Jacqueline Wolper katika mchezo wa Tamasha la Matumaini uliofanyika uwanja wa Taifa Dar leo. Matokeo ya mchezo huu yalikua ni sare.

Wolper akielekea ulingoni kwa mbwembwe

Mh. Mdee akielekea ulingoni huku akisindikizwa na Mh. Nassari nyumba yake

Matokeo yakitangazwa, ambayo yalikua ni sare

Mpambano mwingine ulikuwa ni kati ya Mh. Ester Bulaya (kulia) Mbunge wa Viti Maalum CCM Mara na Bongo Movie Star Aunt Ezekiel (kushoto). Matokeo yalikua sare

Aunt akiandaliwa kabla ya mpambano kuanza

Matokeo yakitangazwa, ambapo yalikua ni sare

Views: 615

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Monica on July 8, 2013 at 11:35
Nimekupata brother D.
Comment by Dixon Kaishozi on July 8, 2013 at 9:11

Taarifa iliyokwisha tolewa ni kwamba pesa inayo patikana ni kwa ajili ya mfuko wa elimu hasa kuwasaidia watoto wa kike kupata mabweni na vyoo!!! @ Dada Monica!!

Comment by Monica on July 8, 2013 at 8:18
Tamasha la matumaini mtoe taarifa ya fedha iliyopatikana itasaidia nini katika jamii mbali kuwa chanzo chenu cha mapato

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*