Tulonge

POLENI wadau wangu kwa kuwa kimya kwa muda, admin yupo hoi na majukumu

Kwa siku mbili au tatu zilizopita kijiji chetu cha tulonge kimekua kimya sana, hakuna jipya lililoonekana hapa. Hii ni kutokana na kubanwa na majukumu mengi kwa Mwenyekiti 'Admin' hivyo kushindwa kuwajuza yaliyojiri ndani na nje ya Tanzania.

Ila hata wewe mdau unaweza msaidia Admin kuweka habari. Angalia ukurasa wa kwanza (home) ,chini karibu na 'Chat room' utaona sehemu imeandikwa "Add Blog Post". Bofya hapo kisha weka habari yako. Itahakikiwa kabla ya kuiruhusu ionekane.

Tupo pamoja

Views: 734

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on August 1, 2013 at 23:54

Asante sna Mntambo

Comment by Mntambo Mburi on July 25, 2013 at 17:44

Pole sana mkuu!

Comment by manka on July 25, 2013 at 13:22

TEHEEE!!  NAMWACHA AENDELEE KUKUSANYA KUSANYA @ MAMA MALAIKA,  ALIPE NA GHARAMA ZA CHUO ALICHOSOMA. TEHEEE.

Comment by Mama Malaika on July 24, 2013 at 19:29
Ha haaaaa..... Dismas. Ukiacha mahari, bado wadaiwa 20mil ya wedding party. Itabidi uuze na shamba uliloachiwa la urithi toka kwa babu. Teh teh teh...
Comment by Tulonge on July 24, 2013 at 15:55

Hahhahaahaa Ommy umepinda wewe.

Mama unajua Manka amenipangia mahari kubwa sana ya kumpata mdogo wake. C unalijua kabila la Manka lina uhusiano mkubwa na mambo ya mahela mengi teh teh teh

Comment by Omary on July 23, 2013 at 21:47

Mamaangu Dis sijui kama ana muda wa kazi hapo anajuwa muda wa kuingia ila wakutoka haujui lol.

Comment by Mama Malaika on July 23, 2013 at 13:27
Dismas wafanya masaa mangapi kwa siku? Nitamwambia baba M aje akusaidie kuja kwa office ili ukalale
Comment by Mama Malaika on July 23, 2013 at 13:25
Ha haa haaaa... Manka. Hiyo kufanya kazi sana atafuta pesa kulipia mahari kuoa mdogo wako @ Manka.
Comment by Tulonge on July 23, 2013 at 0:19

Hahahaahahaa asante Manka. Hapo hakuna cha uvivu wala nini.Yani hapo ninahisi kufa kufa kutokana na kuchoka

Comment by manka on July 22, 2013 at 12:54

pole jamani, lakini wacha uvivu.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*