Tulonge

Rais Kikwete na Kenyatta wakutana Johannesburg

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013

Mweeh!! Sipati picha walizungumza kitu gani.

Views: 430

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ANGELA JULIUS on November 7, 2013 at 11:35

haya nimepita kuleni bata tuu  wakubwa wa nchi.

Comment by habiba mustafa mlawa on November 6, 2013 at 8:43
huu umoja wetu wa afrika mashariki unalega mara Rwanda mara kenye mmmmm
Comment by Lyehagi Mazuli Mhuli Jr. on November 5, 2013 at 21:31

Mambo mengine ya msingi kuhusu maendeleo ya nchi na wananchi wao wanatakiwa kuyajadili kiutu uzima na si kuanza kurumbana kipuuzi na kisiasa tu bila kujali maslahi mazima ya wananchi husika... Haipendezi kabisa, bora mwongee kieleweke......

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*