Tulonge

Rais Mugabe atishia kuwatia jela mashoga na wasagaji endapo hawatatiana mimba

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe alitishia kuwafunga jela mashoga na wasagaji endapo watashindwa kutiana mimba. Kauli hiyo aliitoa alipokua akifungua kampaini ya chama chake cha Zanu PF kwaajili ya uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi huu nchini humo.

 Soma zaidi

Views: 712

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by KUNAMBI Jr on July 16, 2013 at 13:55

hichi kichwa bangi tupu khaaa

Comment by David Edson Mayanga on July 16, 2013 at 10:45

kampeni hizo zakizamani

Comment by Dixon Kaishozi on July 16, 2013 at 8:58
Kama ndiyo gia yake ya kujipatia uraisi tena basi ajue imekula kwake.. huo ni zaidi ya uchizi..

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*