Tulonge

Shabiki wa Man U ajiua kwa kujirusha chini toka ghorofa ya 7 kufuatia kufungwa 1-0 na Newcastle(video)

Ni tukio la kusikitisha lililotokea huko Nairobi nchini Kenya baada ya kijana John Jimmy Macharia (23) kujiua kwa kujirusha chini toka ghorofa ya 7 kufuatia timu yake ya Manchester United kufungwa na Newcastle bao 1-0 siku ya jumamosi iliyopita. Rafiki wa marehemu alieleza kuwa John aliwaambia kuwa hawezi kuvumilia kuona timu yake ikifungwa mara ya pili. Ndipo alipowaacha cha kwenda kupanda ghorofa ya 7 na kujirusha.

 

Views: 365

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Wa Kimberly on December 10, 2013 at 13:35
Ushabiki mwingine jamani haufai.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*