Tulonge

Soma tangazo, hakuna kucheka tafadhali

Katika pitapita zangu kwenye mitandao, nimekutana na tangazo hili la mjasilia mali akinadi huduma zake.

Views: 845

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Jeath Justin Prosper on October 25, 2013 at 16:17

Hili Tangazo lafaa kuwekwa bure katika magazeti...kajitahidi....hana mchezo na matangazo ya ujasiriamali

Comment by Dixon Kaishozi on October 23, 2013 at 15:35

Hahahahaaa... Kwa hili wacha nicheke... hahahaa...

Sasa kuandika kwenyewe ndo hivyo.. sasa sijui akikufanyia kazi itatoka vipi... hahahaaa... Kuna kingine nilikiona kimeandikwa hivi... 

Tuna piga picha za haraka pasipoti kwa dk3 "TUKIENDA WOTE STUDIO" au dk 45 ukisubiri nikuletee!!!!!

Comment by habiba mustafa mlawa on October 22, 2013 at 8:22
lkn si mmeelewa
Comment by ANGELA JULIUS on October 21, 2013 at 16:22

lol ukitaka kujua Bonielly alipo nipe zawadi nitakwambia alipo nikiwaambia matatizo yake naona hamniamini tena mchana huu nimetoka kumpelekea mayai na chipsi manake ndo chakula anachopenda anawasalimu.

Bonielly hana cha mayai wa kuku wa kienyeji wala wa kihindi vitu anavopenda yeye ananisingizia mimi.

Comment by Mama Malaika on October 21, 2013 at 9:54
Ha haa haa haa haa haaaa... Wewe Angela wewe, Bonielly atakunyima mayai ya kuku wa kienyeji. Na sijui kapotelea shamba maana kimya? Ha haa haaaaa
Comment by manka on October 20, 2013 at 22:12
Teheteheee! Yaani nimelazimika kusign in ili niandike kicheko changu , hahaaaa.
Comment by ANGELA JULIUS on October 19, 2013 at 10:22

wala usishangae mama Malaika huyo ndo Bonielly

Comment by Mama Malaika on October 19, 2013 at 9:18
Mie sijacheka bali nashangaa huyu aliyeandika hata kiswahili nacho kilimshinda au? umeona neno 'Maharusi' alivyoliandika?
Baba Malaika kitu kilichomfanya acheke ni kutoelewa 'Gurdulet' hadi nilipomwambia kuwa mwndishi amaananisha Graduation. Alifikiri ni neno la kiswahili...
Comment by Tulonge on October 19, 2013 at 9:07

teh teh teh Bonielly akipita hapa ataua mtu

Comment by ANGELA JULIUS on October 19, 2013 at 8:59

halafu aliyeandika hili tangazo ni Bonielly wakati yupo pale Muhimbili nikamrekebisha alikataa na hapo embu mualike kwenye shughuli yako aje akufanyie kazi ndo utachoka picha anapiga huku kapiga sarakasi sasa pata picha inakuwaje hapo ni kichwa chini miguu juu ha ha ha.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*