Tulonge

Swali la kizushi:Kuna tofauti ipi kati ya picha hizi zifuatazo!

Msani wa kibongo ambaye watanzania tunamuobea dua atoke jela na kurudi uraiani kutupa raha kupitia fani yake,kwa jina Lulu Elizabeth,inasemekana aliwahi kusema kuwa akivaa nguo ndefu zinamuwasha sana mwilini.!

Ndugu wadau,leo hii nimekuja na swali la kizushi,ukitizama picha za msanii huyo,wewe kama wewe unaona tofauti ipi,na kama huoni tofauti tafadhali angusha maelezo yako ili kuthibitisha unachokiona.

Picha ya kwanza:

Picha ya pili:

Picha ya tatu:

Picha ya nne:

Picha za mwanzo,zinaonyesha NIDO,na zingine zinaoenyesha ile mitaa kunakopita underwear,lakini picha zinazofuata zinaonyesha uvaaji mwingine,ambao ni nguo ndegu,za kiheshima, zinazohifadhi utu wa mtu.Huwezi kuona mitaa ya underwear,huwezi kuona hata bonge la nido.!Kumbe mtu ukiamua kila kitu kinawezakana,na mambo ya kuwashwa unaweka pembeni.!!

Views: 1709

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on July 16, 2012 at 13:17

Du! Hizo tatoos nyuma ni balaa. Hizi picha mbili za chini ambazo hana make-up sura yake inaonekana ndogo, make-up mara nyingi zinakuza na kuzeesha sura

Comment by Dixon Kaishozi on July 3, 2012 at 23:39

Tofauti ni KUBWA SANA!!! kumbe akivaa nguo za maadili anakuwa MTU ? yani amependeza zaidi ya kuonyesha mwili wake!!! ila tabia ni tabia tu.. kuibadirisha ni kazi... hope atabadirika!!!

Comment by manka on June 11, 2012 at 17:51

wanasema jela siyo jereha bali ni chuo cha mafunzo akitoka naona atamfunza hata mama yake malezi bora.

Comment by Christer on June 11, 2012 at 12:47

Haahahahahhhahaaaa eti akivaa nguo ndefu awashwa? sahz haziwashi tena. pole yake, fundisho wa wenzake alowaacha kitaa wanaojiita masupasta wa bongo.

Comment by habiba mustafa mlawa on June 11, 2012 at 8:58

segerea si mchezo, ndugu yako akikupeleka kule ujue na undugu kwishne

Comment by ILYA on June 10, 2012 at 23:00

Kweli kabisa kaka Tulonge@,huko alipo ni shule na hilo linaweza kuonekana katika picha hizi,kuna fikra mbaya sana ipo katika bongo za wasanii walio wengi,wao hasa w akike hudhani kwamba usanii wao utachelewa kukomaa au hata kupotea kabisa ikiwa hawatavaa nguo zinazoonyesha viungo vyao vya mwili,tena wengine hufikia hatua ya kuonyesha zile sehemu nyeti kabisa za kiheshima ambazo akili inasema si vizuri kuzionyesha mbele ya kadamnasi iwe kupitia mitandaoni au popote pale labda kama wewe umebahatika kuwa kichaa.!

Na hapa nasema hivi:

Si sahihi kwamba kipaji cha mtu hakitaonekana ikiwa msanii atazingatia tabia njema zinazotakiwa na jamii,bali kinyume ndio ukweli mtupu!.

Tizama Lulu anavyopendeza akiwa jela kwa kuheshimu utu wake,laiti aendelee kuw ahivyo katika maisha yake yote yaliyobakia,itakuwa ni fursa pana ya yeye kutengeneza heshima yake mbele ya jamii na hakika umaarufu wake utazidi kunona,ama akirudia tabia zake,basi hapo kama alivyosema hapo chini kaka Tulonge,atahitaji kufunzwa na ulimwengu.!

Comment by Tulonge on June 10, 2012 at 22:28

Totauti ipo mkuu. Hapo kuna nguo za heshima na zisizo za heshima.Akivaa nguo hizo ndevu(za heshima) anasitiri mwili wake vyema na kuonekana binti mwenye busara mbele ya jamii.

-Huko alipo ni chuo cha mafunzo, nadhani akirudi mtaani atakua amenyooka. Kama atarudia zile tabia zake mbaya basi sidhani kama kuna mtu anaweza mrekebisha tena. Tusubiri ulimwengu umfunze.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*