Tulonge

Tabora: Akata uume wake kuepuka usumbufu wa wanawake


Kijana Ayubu Mnazi Alphonce(24)ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete akipatiwa matibabu baada ya kuamua kujikata uume wake kwa kitu alichodai kuwa ni wembe mpya,sababu za kufanya hivyo Ayubu alieleza kuwa inatokana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanawake ambao amekuwa ana uhusiano nao wa kimapenzi.

MKASA KAMILI:

Ayubu ambaye kwasasa amelazwa wadi namba moja katika hospitali hiyo,imeelezwa kuwa baada ya kutokea mfarakano baina yake na mwanamke mmoja ambaye jina halijafahamika aliamua kuingia ndani na kuukata uume wake kwa kutumia wembe mkali na baadae sehemu ya uume huo alikwenda kuutupa kwenye majani na kurudi chumbani kwake.

Taarifa kutoka Jeshi la Polisi zinaeleza kuwa baba mzazi wa Ayubu baada ya kubaini mtoto wake kuwa amejifungia chumbani kwa muda mrefu akaamua kumgongea mlango na alipopata fursa ya kuingia ndani ndipo akagundua ukweli juu ya jambo hilo na hivyo kumpeleka Ayubu Kituo kikubwa cha Polisi Tabora ambapo jalada la kesi ya kujidhuru lilifunguliwa.

Hata hivyo hali ya Ayubu kwasasa inaendelea vizuri licha ya kuwa amejikata na kubakisha kipande cha sentimeta 5 huku akisubiriwa kufikishwa mahakamani kwa kutenda kosa hilo la kujidhuru mwenyewe pasipo sababu za msingi.
Via: MdodosajiBlog

 

Views: 1273

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Severin on November 28, 2013 at 22:33

Angela kama huamini unaruhusiwa kuja kuhakikisha kama ni inch 8 au la. Tena hapo nimeweka kadirio la chini, nadhani nina inch 9 au 10

Comment by ABRAHAM PONERA on November 28, 2013 at 13:00
binadamu kukombolea kifra sio kazi rahisi itatuchukua muda mrefu sana
Comment by ANGELA JULIUS on November 27, 2013 at 16:40

ha ha ha kila nikipita kona hii mimi ni kucheka tuu hata kucomment nashindwa naona wadau yote mmemaliza lol wewe Severin na tumbo lako hilo kama kibuyu utawahi kuwa na 8 inch thubutu

Comment by Dixon Kaishozi on November 27, 2013 at 8:26

Huyu jamaa na wasiwasi kuwa JONGOO wake alikua hapandi mtungi.. sasa kupotezea akaona aikate ili ajulikane hana hiyo kitu!!! mwongo mkubwa.. sasa atakuwa ubwabwa!!!! 

Comment by Severin on November 26, 2013 at 22:18

Kumbe unajua Zainabu. Let's meet gal, I have such a super dick(about 8 inches) hahahahhaaa. u'll enjoy

Comment by Zainabu Hamis on November 26, 2013 at 19:43

wera pipo............dik kubwa ndio mpango mzima...........vifupi vifupi havina razzzzaaaaaa

Comment by CHA the Optimist on November 26, 2013 at 18:01

I guess, his d-i-c-k was about six or seven inches, that's why girls wanted him.

Comment by Mjata Daffa on November 25, 2013 at 9:12

DUHHHH, kwa mtaji huu haata mm ningekuwa Binti nengemsumbua, asiependa raha nani?

Comment by Mjata Daffa on November 25, 2013 at 8:57

LILIAN bilashaka huyu jamaa alikuwa mashalaa ndio maana wasichana walikuwa wanamgombania na kumsumbua.

Nilikuwa napata taabu kujua sababu lakini lilian umenifumbua macho kilichomponza huyu jamaa ni umbile lefu alilokuwa nalo la kuwafikisha kileleni mabinti ndani ya sekunde chache just imagine pamoja na kukata kabakiwa na 5CM maana yake alikuwa na 10CM sialikuwa na gusa figo huyu?

Najua kuna dada zangu kwa story hii wanajuta kwa ninihawakubahatika kukutana nae kabla ya maamuzi mazito ya kuupunguza uume hayajafikiwa.

Comment by Omary on November 24, 2013 at 23:41
Hahahahah Dis kweli mwehu yaani kinachofanya niitwe Ommy nikitowe then nitaitwa nani? isee huyu jamaa hata shetani atamlaumu maana katowa kiyngo muhimu sana maishani mwake heshima itatoweka dah! atakosa raha ambazo Dis anazipata.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*