Tulonge

Tabora: Akata uume wake kuepuka usumbufu wa wanawake


Kijana Ayubu Mnazi Alphonce(24)ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Tabora Kitete akipatiwa matibabu baada ya kuamua kujikata uume wake kwa kitu alichodai kuwa ni wembe mpya,sababu za kufanya hivyo Ayubu alieleza kuwa inatokana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanawake ambao amekuwa ana uhusiano nao wa kimapenzi.

MKASA KAMILI:

Ayubu ambaye kwasasa amelazwa wadi namba moja katika hospitali hiyo,imeelezwa kuwa baada ya kutokea mfarakano baina yake na mwanamke mmoja ambaye jina halijafahamika aliamua kuingia ndani na kuukata uume wake kwa kutumia wembe mkali na baadae sehemu ya uume huo alikwenda kuutupa kwenye majani na kurudi chumbani kwake.

Taarifa kutoka Jeshi la Polisi zinaeleza kuwa baba mzazi wa Ayubu baada ya kubaini mtoto wake kuwa amejifungia chumbani kwa muda mrefu akaamua kumgongea mlango na alipopata fursa ya kuingia ndani ndipo akagundua ukweli juu ya jambo hilo na hivyo kumpeleka Ayubu Kituo kikubwa cha Polisi Tabora ambapo jalada la kesi ya kujidhuru lilifunguliwa.

Hata hivyo hali ya Ayubu kwasasa inaendelea vizuri licha ya kuwa amejikata na kubakisha kipande cha sentimeta 5 huku akisubiriwa kufikishwa mahakamani kwa kutenda kosa hilo la kujidhuru mwenyewe pasipo sababu za msingi.
Via: MdodosajiBlog

 

Views: 1246

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on November 24, 2013 at 18:16

Najua mtu kama Alfan, Kunambi na Omary HAWAWEZI thubutu hata kidogo kupata hata wazo la kufanya hv.Maana wanakitumia kiungo hicho kikamilifu teh teh teh

Comment by Severin on November 24, 2013 at 18:13

Sasa ndugu yangu inabidi uanze kugeuzwa tu. Si umeukata uume

Comment by Dixon Kaishozi on November 24, 2013 at 15:03
Hahaha.. na anikitoka hapo anakua chakula mazima na hicho ki 5cm
Comment by Lilian on November 24, 2013 at 11:04

C angekata yote, kabakiza kipisi cha nini? Na anaonekana alikua ni kitu chan nguvu, maana pamoja na kukata lakini kimebaki chenye urefu wa 5cm

Comment by audax mwaseba on November 23, 2013 at 22:42

jamaa inabidi awekwe katika kitabu cha maajabu ya dunia.

Comment by ANGELA JULIUS on November 23, 2013 at 10:19

MJATA WACHAGA SI BORA ANGEKUWA ANAJIPIGA RISASI MWENYEWE YEYE ANAMALIZA NA FAMILIA YAKO KABISA KWELI WACHAGA NOMA TENA HIZI CASE ZIMEONGOZANA ZA KUUA NA KUJERUHI AU KUUA MKWE WA KIKE BADO TUTASIKIA MWENGINE KAJERUHI KAMA SI KUUA MKWE WA KIUME.

Comment by ANGELA JULIUS on November 23, 2013 at 10:17

JAMAA HATA HIVO BADO TOTO KWELI NA HAPO ALIPO ANATAKIWA AWEKEWE TAARIFA ASIMILIKISHWE CHOMBO CHOCHOTE KILE CHA MOTO.

SASA HIZO CM 5 ALIZOBAKI NAZO AKALALE NAZO NA ................... SHWAIN.

Comment by Mjata Daffa on November 23, 2013 at 9:41

mngetuambia huyu jamaa ni kabila gani ilituogope kuozesha watoto wetu kwa watu wa aina hii. hata hehe hafanyi hivyo, siengizia wachaga? maana wachaga sikuhizi ukimnyima penzi tu anajipigarisasi. 

jamaa muoga wakufa huyu kama anapatamauzi sumu sizipo?

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*