Tulonge

Tazama video ya jamaa akiendesha baiskeli yenye urefu wa futi 14.5

I hope this bike comes with training wheels...

YouTube Description: STOOPIDTALL - CICLAVIA 2013 - LA BIKE CULT - It's safe to say that you probably won't see this bike on public streets again any time soon. What an awesome adventure, but too much risk to bring around others. Thanks for all the support and all those beautiful smiles.

14.5ft at the Seat
Built in 12 work hours
One Huffy beach cruiser, 2" square tubing, 3/4" round tubing, and 1" round tubing
26" single speed coaster brake wheelset
6 1/2 single speed bicycle chains (32.5ft of chain)
Side note: Only thing I wasn't a fan about in the video was the fact that he wasn't wearing a bicycle helmet. Heck, he should probably even be wearing a parachute!

Views: 692

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by MGAO SIAMINI,P on April 30, 2013 at 9:26

najiuliza anapandaje?

Comment by Samwel Mnubi Masatu on April 28, 2013 at 3:59

hii baiskel haijawa  kutokea, mambo ya pesa hayo.nmfusi jamaa ni mbunifu

Comment by Omary on April 27, 2013 at 21:55

Huyu jamaa sijui anaakili timamu?! maana baiskeli yenyewe haina hata breki je? kwe foleni anasimamaje? maana baiskeli lazima mguu mmoja ukanyage chini sasa yeye mpaka akashike kwenye nguzo huu kweli wehu.

Comment by Hellen Attarsingh Gupta on April 27, 2013 at 16:12

Najiuliza, tabu yoooote hii, hasa ni kwa ajili gani? Sifa tu? Au kuna mshiko? Maana kama akidondoka hapo ni kifo. Sasa kwa nini mtu uhatarishe uhai wako kiasi hiki?

Comment by Jeath Justin Prosper on April 27, 2013 at 14:15

Hii mambo ya Creativity & Innovation....inaleta shida................hii baiskeli au mnara wa kuwekea matenki ya maji ya serikali mtaa

Comment by Tulonge on April 27, 2013 at 9:57

Aombe Mungu asianguke

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*