Tulonge

Tazama wachezaji wa Taifa Stars ndani ya suti kali wakiagwa katika hotel ya New Africa (picha 7)

Baadhi ya wachezaji wa Stars ndani ya suti kali wakiagwa

Timu ya soka ya Tanzania (Taifa Stars) leo kuanzia saa 12 jioni ilikua ikiagwa katika ukumbi wa New Africa Hotal Dsm tayari kwa safari yake kuelekea Morocco katika mchezo wa kufuzu kucheza fainali za kombe la Dunia huko Brazil 2014.

Mrisho Ngassa (wa pili toka kushoto) akiwa na wenzake

Mwinyi Kazimoto kushoto na wenzake wakipita jukwaani

Msanii Barnaba akiburudisha live

Kocha wa Stars Kim Poulsen akisoma jumbe za washabiki toka katika mtandao twitter

Picha ya pamoja

Nahodha wa Stars, Juma Kaseja akitoa neno

Views: 1097

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mathias Mlumba Kiyora on May 27, 2013 at 19:18
Wa tz jamani nendeni mkatupe raha MWENYEZI MUNGU awape nguvu na ushujaa wa kupambania Taifa letu, Kila la Kheri.
Comment by manka on May 27, 2013 at 15:21

safi sana, Mungu awatangulie.

Comment by Christer on May 27, 2013 at 11:37

SAFI

Comment by KUNAMBI Jr on May 26, 2013 at 12:46

haha haha Kama Liverpool vile dadadeki safi kabisa

Comment by Samwel Mnubi Masatu on May 26, 2013 at 8:55

kila la heri taifa staa wtz tuko nyuma yenu

Comment by Hussein Nkenja on May 25, 2013 at 21:51

kila la kheri stars. We dream that our future will be bright. We are heading to the world cup only two steps to reach where we want to be....................................

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*