Tulonge

Teh teh teh! hivi ndivyo huwa ukioga maji baridi sehemu ya baridi kama Mbeya

Views: 529

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by habiba mustafa mlawa on June 28, 2013 at 16:35
hahaha hata ta kujimwagia unaanza na usoni mikononi miguuni na kwingineko wala hawajakosea
Comment by David Edson Mayanga on June 26, 2013 at 12:53

jamani acheni masihara mimi nimeorea mbeya jama 

Comment by Monica on June 26, 2013 at 12:41
Mmmm,.hiyo ni stail ya maji ya Mvua bombani,je yaliyo kwenye ndoo unatakiwa ujimwagie mwenyewe una anzia wapi ?
Comment by Tulonge on June 26, 2013 at 6:55

teh teh teh, mama kuoga maji ya baridi si kazi ndogo hasa sehemu zenye baridi kali.Unaweza ukaingia bafuni lkn ukatoka bila kuoga

Comment by Mama Malaika on June 26, 2013 at 0:43
Ha haa haaaa.... Dismas ndio zako nini?
Comment by Tulonge on June 26, 2013 at 0:17

Hahahahahaaaa hii kali, tatizo kubwa huwa ni kujimwagia mgongoni.Inanikumbusha siku za kwanza kwanza nilipo kwenda Iringa.

¬© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*