Tulonge

Teh teh teh!! Wadau kuna ukweli hapa?

Views: 469

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Mama Malaika on April 30, 2013 at 19:47

Africa ndio maana hatuendelei. Mie kuishi overseas kumesaidia sana kukwepa/kimbia michango ya harusi. Lol..... sana sana nachangia harusi mbili tu kwa mwaka

Comment by MGAO SIAMINI,P on April 30, 2013 at 9:14

ila ma michango ya harusi yanakera

Comment by mathias mwita on April 29, 2013 at 16:11

malengo hapo ni magumu kutimia @admin

Comment by Christer on April 29, 2013 at 11:19

Teheteheteheteee. Ukweli 1500%

Comment by Omary on April 28, 2013 at 2:16

Hapa ukitaka uchomoze upande wa pili pita kulia au kushoto kisha choma kwenye pori tokea upande wa pili utawakwepa wote hawa.

Ila kiukweli michango ya Harusi siku hizi imekuwa mingi na ukiangalia wote Watu wako huna pakukimbilia.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*