Tulonge

Teh teh teh! wale washabiki wa soka naomba majina ya hawa,taja mmoja tu.

Views: 691

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Tulonge on March 21, 2013 at 0:13

Hahahahaaahaaa asie Alfan ni bingwa wa kufananisha, ni kweli kabisa.Huyo namba 20 ni Kunambi mtupu

Comment by Alfan Mlali on March 20, 2013 at 23:17
Hahahhahaha..nishamjua hata mimi anaitwa...........Kunambi
Comment by Tulonge on March 20, 2013 at 23:05

Kuna mdau mmoja namfananisha na namba 20,ila sura yake inanitoka kidogo teh teh teh teh.Nitamtaja sasa hv

Comment by Alfan Mlali on March 20, 2013 at 22:20
Hahhahahahhahahahaha..Umempatia kweli
Comment by Omary on March 20, 2013 at 21:37

Hahahaha we mwehu kweli

Comment by Tulonge on March 20, 2013 at 21:14

We Omary nani anayevuta bangi? ndomaana umefanana na namba 4

Comment by Omary on March 20, 2013 at 21:12

Hahahahahah mshaanza bangi.

Comment by Alfan Mlali on March 20, 2013 at 21:03

HAhahahahaa..wewe unafanana na namba 8..kwikwikwikwiwkwikwikwi

Comment by Tulonge on March 20, 2013 at 20:51

Teh teh teh Alfan lina masifa kweli.Nimesema utaje mmoja wewe umetaja wote. Ndomaana umefanana na namba 11

Comment by Omary on March 20, 2013 at 18:46

Daffa nitake radhi hahahah eti mpira wa bongo namjuwa kaseja tu? dah! ila kweli unajuwa sijawahi kwenda taifa kuangalia mpira ulijuwaje? mie kinachoniudhi kuibiana bana maana ukienda taifa kuna mawili uibiwe cm au poch kama umekuja na gari taa yaani basi nikiwaza hayo hamu yote inaisha.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*