Tulonge

Uchaguzi wa Mkuu Kenya: Raila Odinga akipiga kura

Safari hii piga ua lazima nishinde...! Waziri Mkuu wa Kenya na mgombea urais kupitia Coalition for Reforms and Democracy (CORD), Raila Odinga akipiga kura yake kwenye kituo cha kupigia kura cha Kibera, Nairobi nchini humo leo Machi 4, 2013. Wakenya wanaendelea kupiga kura leo katika uchaguzi mkuu kumpata rais mpya atakayerithi nafasi inayoachwa na Mwai Kibaki aliyemaliza muda wake na hadi sasa, ushindani mkali unaonekana kuwapo kati ya Odinga na Uhuru Kenyatta. (Picha: Reuters)

Views: 412

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christina N. Mkonyi on March 5, 2013 at 11:27

kweli Kenya wamefika mbali wamejifunza democrasia na kuielewa ila naomba Mungu wakubali matokeo.

 

Comment by MGAO SIAMINI,P on March 5, 2013 at 10:37

Democrasia hii ya kampeni, kupiga kura na kuhesabu kama itaisha salama kenya itakua imefikia hatua kubwa Afrika na sisi watanzania tuige mwenendo huu.

Comment by Christer on March 5, 2013 at 8:20

Kweli , this time msimwage damu kwenye matokeo nyie Wakenya.

Comment by ANANGISYE KEFA on March 5, 2013 at 7:09

tunachoomba yale yaliyotokea 2007 yasijirudie tena, mungu ibariki kenya mungu ibariki afrika mashariki.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*