Wengi tumezoea kufanyiwa huduma ya 'massage' na binadamu wenzetu. Lakini huko Thailand eneo la Muang kuna kambi iitwayo 'Maesa Elephant Camp' ambapo watu hupewa huduma ya 'massage' na tembo. Tembo hao hutoa huduma hiyo kwa utulivu mkubwa kwa kutumia mguu wake bila kumdhuru mteja. Pia kuna michezo mingine ambayo tembo hao huonesha kama kucheza mpira, muziki, vishale (darts) n.k
Add a Comment
hapa nahisi kunammoja wao atatoa haj kubwa mh
Hadi mmoja wao atolewe utumbo ndo watajifunza
Dah!!! Sasa likikosea na likakukanyaga jumla sijui inakuaje!! yataka moyo!!
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge