Tulonge

Ushindi wa mechi 5 kati ya 7 zilizobaki utaipa yanga Ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

YANGA inaweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kabla ya ligi kumalizika endapo tu itashinda mechi tano mfululizo na kufikisha pointi 60.

Vinara hao wa ligi na pointi 42 kibindoni, baada ya kucheza mechi 19 kwasasa wamebakisha mechi saba kukamilisha ligi hiyo.

Endapo, Yanga itashinda mechi tano kati ya saba, itafanikiwa kufikisha pointi 60 ambazo hazitafikiwa na timu nyingine yeyote.

Timu inayoifukuzia Yanga kwa karibu ni Azam FC inayokamata nafasi ya pili ikiwa na pointi 37 lakini ikisaliwa pia na mechi saba.Kama Azam itafanikiwa kushinda mechi zake saba ilizohifadhi mkononi itafikisha pointi 58.

Chanzo: shaffihdauda.com

Views: 312

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by ILYA on March 11, 2013 at 17:12
Yanga tena!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*