Tulonge

Video: Sheha Mohamed Omar Said aliyemwagiwa tindikali azungumza

Makamu wa pili wa rais wa Zanzibar balozi Seif Ali Iddi amelaani kitendo cha kumwagia tindikali sheha wa Shehia ya Tomondo Mohamed Omar Said na kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka na kuwakamata waliohusika na kitendo hicho.

Views: 440

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by Christer on May 27, 2013 at 12:10

Pole

Comment by ALLY T MHANDO on May 24, 2013 at 12:46
Ni kweli tukiyaachia haya mambo yanaweza yakligawa taifa letu. Nahisi kuna mkono wa mataifa ya nje katika haya mambo.
Comment by MGAO SIAMINI,P on May 24, 2013 at 10:29

Mambo haya yanaleta picha mbaya tuyazungumze kwa uwazi tufike muafaka.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*