Tulonge

Vidume wa Tulonge mmeuona ujumbe huo? mnakubali au la?

Views: 867

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by manka on October 31, 2013 at 23:17
Angela mwanaume habakwi kama alivyosema Monica ukilaZimisha ndio abdala kichwa waZi anaZidi ulegelege'.
Comment by manka on October 31, 2013 at 23:12
Tehe ni kweli' lakini ambalo halijipangwa ndiyo honoga, sasa ya nini kunyimana bwana hadi mbakane?
Comment by Monica on October 28, 2013 at 18:24
Severine unapenda kukunja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!eeeeeeeeee,hala hala usije ukawa Nyoka Wa kibisa asiyeuma,
Comment by Monica on October 28, 2013 at 18:20
Anjela ukiona Nyoka kanyanyua kichwa ujue yupo tayari kutoka ushirikiano na mate atarusha,Hapo hajalazimishwa,wengine unaweza kupiga jeki akaishia kutepeta Kama bamia lililooza,ukiona mwanaume umempeti akakubali na kutapika huyo alikuwa mbali tu?,
Comment by Severin on October 28, 2013 at 18:08

Hahahhhaaaa Angela kumbe wanijua vema, mimi habari nyingine huwa zinanizingua tu.Mambo kama haya ndo nayapenda. Hata wewe Angela tukikutana sisubiri ruhusa wala nn, nakukunja tu hahahahahaa.Zile picha nitakutumia usijali

Comment by FURAHA ABRAHAM on October 28, 2013 at 16:55

heheiya habari ndo hiyo ki2 utayari men

Comment by FURAHA ABRAHAM on October 28, 2013 at 16:54

Comment by ANGELA JULIUS on October 28, 2013 at 16:32

dada Monica napenda kukujibu swali lako kama ifuatavo ni kwamba wanaume nao wanaweza kubakwa endapo mama utamlazimisha wakati akiwa amechoka atakapofanya bila ridhaa yake hapo ni sawa na umembaka na hata ukimcheki miondoko yake inakuwa si kama ile ya siku zote. Kumlazimisha inatokea ndo kama nilivokwambia utaona miondoko si kama ya siku zote na hapo ni sawa na umembaka na mwanaume akimfanyia hivo mkewe au mpenzie ni sawa na amembaka. kumbuka kumbaka mtu si lazima mpurukushane mchaniane nguo na kupigana ngumi hata ukimlazimisha mwenzio akiwa hayupo on mood hapo ni sawa na umerape.

Comment by ANGELA JULIUS on October 28, 2013 at 16:26

yani Severin ulikuwa umepotea mpenzi wangu habari kama hz ahhhh wapi hazikupiti lol inavoelekea kila siku unapiata ila unaona habari za kitaifa hazikufai ila hz za kileo ndo lol uzalendo umekushinda ni inbox basi zile picha zetu.

Comment by Dixon Kaishozi on October 28, 2013 at 16:18

Hahahahaaa.. Severin !!!!

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*