Add a Comment
nahisi pia ni kwa saababu wanalipia maangazo kwa jiji....sidhani kama wanabandika bure. Watakua wanalipia kwa serikali za mitaa.
Biashara ni Matangazo!
Inaonesha kuna tatizo kubwa sana la nguvu za kiume hasa mijini. Matangazo kama haya mikoani hayapo kabisa.
Mama M--Tanzania kila kitu ni shaghalabagala. Wajua baba au mama wa nyumba akiwa shaghalabagala, hata watoto nao watakuwa hivyohivyo
-Hahahhahhahahaaa Mjata umenivunja mbavu na comments zako. Tatizo unaweza ukatumia hiyo dawa halafu 'abdala kichwa wazi' akanenepa kupita kiasi.Unashangaa anakua kama mtwangio. Naona shemeji alistuka, usije ukamuua bure.
-Mama Malaika hao hawalipi cha kodi wala nn, wengi wao wanabandika kwenye nguzo za umeme
asante sana dada yangu bahati nzuri nilikuwa na WIFE kama kawaida yetu ikabidi nimtanie nikamwambie nakwenda kununu ile dawa alicheka baadae akakichukua kile kikaratasi na kukichana. sijui alizani nitaenda kweli hahahahahaha. woga wake tu hata asinge chana nisingeenda kufanya upumbavu huo kwanza M/Mungu amenijaalia sihitaji nyongeza wala pungufu.
Nchi hii sasa imegeuzwa shamba la bibi, hata wewe ukiwa na chochote unaweza kubandika popote na hutaulizwa na yeyete.
mfano leo nikiwa naendesha gari kuelekea ofisini alipita kijana dirishani akanitumbukizia kikaratasi cha tangazo linlosema Njoo upate dawa ya kurefusha na kunene pesha uume, asume ningekuwa na mkwe wangu ndani ya gari ningeweka wapi uso wangu? hii sijaipenda
ifikie mahali wawe wanatoa kodi sasa
© 2022 Created by Tulonge.
Powered by
You need to be a member of Tulonge to add comments!
Join Tulonge