Tulonge

Wale wa enzi hizo mnaikumbuka hii familia?

Views: 578

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by CHA the Optimist on November 5, 2013 at 19:01

yEAH long time sana! Asante kwa picha na kutukumbusha ya enzi.

Comment by Tulonge on November 5, 2013 at 12:14

Mimi nakumbuka hadi rangi ya hicho kitabu

Comment by ANANGISYE KEFA on November 5, 2013 at 7:38

hiyo ni familia ya bwana na bibi daudi na kama sikosei ni kitabu cha kiingereza darasa la tano la enzi zetu na hao watoto ni musa, neema ila huyo mdogo nimemsahau.

Comment by CHA the Optimist on November 4, 2013 at 19:57

Hii picha si ngeni kwangu, ila sikumbuki ni kitabu, jarida, au nini.

Ah! nimeshasahau...mambo mengi ku-mkichwa.

Comment by Zainabu Hamis on November 4, 2013 at 17:30

Hii picha jamani ni picha iliyokuwa inaonekana katika moja ya vitabu ambavyo kwa kusema ukweli sikumbuki ni kitabu gani ila ni vya Primary School.

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*