Tulonge

Watoto walioungana wanaotumia njia moja kujisaidia, kupelekwa India kufanyiwa upasuaji wa kuwatenganisha

Vicky Kimaro, Mwananchi
<"Wakati wa ujauzito wangu sikuwahi hata siku moja kuhisi kuwa ningeweza kuzaa watoto wakiwa kwenye tatizo hili, sikuwahi kuumwa zaidi ya kuvimba miguu tu na  hiyo ni hali ya kawaida kwa mjamzito yeyote." anasema Grace ambaye kwa sasa anahitaji msaada wa hali na mali ili kuokoa maisha ya watoto wake.
<"Nilishangaa, familia yangu kunitelekeza katika hali hii baada ya kugundua watoto wameungana, mume na familia yake alinitamkia wazi kuwa hawana shida na watoto walioungana, alisema hawezi kuwalea kwa kuwa kwao hakuna watoto wenye ulemavu wa aina hiyo,” anasema.
<"Siyo siri nilisijikia uchungu, sikuamini kuwa mume wangu angenifanyia hivyo, siyo yeye tu hata familia yao yote sikudhani kama wangenigeuka hivyo, nashukuru kwa upande wa familia ya wazazi wangu walikuwa pamoja nami ingawa ni maskini na hawana uwezo wa kunisaidia.
<"Hospitali ya Kyela ndiyo iliyonipeleka ile ya Rufaa Mbeya ambao nao walivyoona hali ya watoto wangu wakanishauri kuja Muhimbili, sikuwa na uwezo wa kufika hapa, lakini nawashukuru madaktari wa Rufaa Mbeya walioniwezesha kufika hapa.
<"Njia ya kukojolea wanatumia moja na pia njia ya haja kubwa wanatumia moja, tutakapowatenganisha kuna utaalam ambao utafanywa ili kila mtu aweze kutumia njia yake mwenyewe bila athari zozote," anasema.
<“Walikuwa ni wachanga kabisa, walikuwa na wiki mbili, walikuwa wamechoka kutokana na mwendo mrefu wa basi kutoka Mbeya, walikuwa na homa kali na matatizo katika njia ya kupumua, tukatibu kwanza matatizo hayo ndiyo vipimo vingine vikaendelea,” anasema.
<"Wamefika hapa hawakuwa hata na nguo za kutosha, huyu mama naye alikuja katika hali ya kuchanganyikiwa ukizingatia ukweli kuwa ndugu zake wamemtelekeza, tumefanya kazi kubwa sana ya kumpa ushauri nasaha mpaka akakubalina na hali halisi.
<"Kuna wakati alikuwa anasema anataka kuondoka awaache watoto kwetu, hali hiyo ilitokana na kuchanganyikiwa, muda mwingi alikuwa akilia ila kwa sasa namshukuru Mungu yeye na watoto wanaendelea vizuri,” anasema.
Kwa nini wameungana 
<"Hali hii inaweza kusababishwa na upungufu wa madini,” anaeleza. 
<“Hata hivyo kwa sayansi ya tiba chanzo kikuu hasa hakijulikani,” anaeleza mtaalam huyo.
<"Upasuaji huu unatakiwa ufanywe na madaktari zaidi ya saba na kila daktari atakabiliana na kiungo chake, mimi pia ni miongoni mwa madaktari ambao nitashiriki upasuaji  wa watoto hawa na inatakiwa umakini wa hali ya juu,” anasema.

Views: 456

Add a Comment

You need to be a member of Tulonge to add comments!

Join Tulonge

Comment by jacquerin gideon makoyola on June 26, 2013 at 11:12

Mwanaume huyo na ndugu zake wasamehewe kwan hawajui walitendalo.ila mungu ndiye muweza wa yote tumuachie yy

Comment by David Edson Mayanga on June 25, 2013 at 10:37

emungu tenda miujiza kwa watotot hawa na mbariki sana mama yao

Comment by Christer on June 24, 2013 at 14:18

Pole sana Grace. Mungu ni mwema, watoto wako watapona tu. Hukupenda wawe hivyo na hakuna mwanamke anayependa kupata watoto wenye tatizo, hilo janaume lililokukimbia ni GUMEGUME.

Comment by MGAO SIAMINI,P on June 23, 2013 at 11:40

GRACE mwanaume huyo ni gumegume mpumbavu,wakipona wanao asirudi kuomba 'pepsi'

© 2021   Created by Tulonge.   Powered by

Badges  |  Report an Issue  |  Terms of Service

/* \uascript type="text/javascript">\udinsert below header image\udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud \uascript type="text/javascript">\ud insert below header image \udif (typeof(x$) != 'undefined') {\ud var postHeaderImageAd = '\uadiv id="postHeaderImageAd ">\ua\ua/div>';\ud x$("#xg_masthead").after(postHeaderImageAd);\ud}\ud /*